Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini, Mahakama Kuu imeiamua kuitupa kesi hiyo kapuni bila hata kuanza kuijadili.
Hizi ndizo sababu tatu (3)...
Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba...
Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati.
Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X:
Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
===============================================
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye...
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano.
Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa Propaganda za tunaonewa wivu? Sijui tuna raslimali chache au nyingi au sijui uzalendo! au sijui dada...
Mnamo Novemba 12, 2025 Wakili Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kipolisi Kawe. Wito huo ulimtaka afike leo asubuhi Novemba 13, 2025 katika kituo cha Polisi Mbweni.
Wakili Mpoki aliongozana na mawakili wake ambao ni Raisi wa TLS Boniface...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X-twitter Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameandika haya:
"Kabla ya mazungumzo lazima waliopanga, kufadhili na kuendesha mauaji ya raia wa Tanganyika na kuhusika na mpangilio wa utekaji na upotezaji wa raia kabla, wakati na...
Ofisi ya mashtaka ya taifa (DPP) na Polisi kwa matendo yao wanamwagia petroli wakidhani wanazima moto. it is an illusion kumtuhumu John Heche kwa ugaidi. Achaneni na huo upuuzi. Hali ya Usalama siyo nzuri kuendelea na desturi zenu za kupika Kesi ili kubambika watu mnatia aibu taaluma na mnakera...
Akizungumza na Wakili tv kwa njia ya mtandao rais wa Tanganyika Law society TLS Wakili Mwabukusi amesema kuwa kitendo cha jeshi la polisi kuzingira ofisi za cha hicho wamelichukulia kwa uzito mkubwa huku akiikumbusha jeshi la polisi kuwa TLS ipo kwa mujibu wa sheria.
Pia Soma: GE2025 - Ofisi ya...
"Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi.
Pia soma > Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi
"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito kwa Mahakama kuona namna ya kurejesha matangazo mubashara ya mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ili kutoa nafasi kwa umma kufuatilia kile kinachoendelea Mahakamani...
Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma.
Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu
Kesi...