Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...