boni yai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Boni Yai ataka kesi ya Lissu ifutwe kwakuwa inapoteza fedha za walalahoi

    Kimsingi ni kweli! kesi ya Lissu ni ya kisiasa na imekaa kimchongo sana Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga tu, na ukitaka kujua inapoteza pesa na muda hata kwa Lissu angalia mashahidi wa hii kesi utajua tu ni mchongo mtupu. =========== Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani na Meya mstaafu...
  2. Bawabu wa pili

    Boni Yai: Mbowe kunyamaza kimya nyakati kama hizi sio sawa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...
  3. Chakaza

    Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  4. upupu255

    PreGE2025 POTOSHI Boni Yai ameikana 'No reforms no election' asema wapo tayari kwa uchaguzi

  5. K

    Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

    Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
  6. Dalton elijah

    SI KWELI PreGE2025 Boniface Jacob ameandika kuwa Godbless Lema ni msaliti, amegeuza 'TONETONE' kuwa faida yake binafsi

    Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
  7. Ubaya Ubwela

    Mbowe awaumiza Vijana wake waliompigia kampeni akiwemo Bon Yai meneja kampeni

    Vjana wanaonekana kusikitishwa na Maamuzi ya mbowe kwa kuuzulia halfa ya watesi wa Chama Chake CHADEMA Bon yai: "Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa...
  8. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
  9. Komeo Lachuma

    Boni Yai katuvuruga, katuharibia, katushusha thamani. Ni nani alimtuma kutufanyia hivi, G55 Waanza umbuana

    Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM.
  10. Mindyou

    PreGE2025 Boni Yai: Devotha Minja alituma vitenge vya CHAUMMA kwenye group tukamtoa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema tuhuma zilizotolewa na miongoni mwa wanachama wa chama hicho aliyesema ametolewa kwenye group la kamati kuu(Devotha Minja) kuwa ni kwa sababu anatengwa sio za kweli. Boniface ameeleza hayo leo Mei 18, na kueleza kuwa mtu huyo alituma...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Boni Yai: Kusema 'No reforms No election' tunatania ni kumdhalilisha Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
  12. Megalodon

    Boni Yai ni Great Politician na ana maturity ya hali ya juu- Big brain

    I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those . Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae. Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema...
  13. Mindyou

    PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wakuu, Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo. Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
  14. M

    Boni yai umefafanua vyema leo. Nimeelewa G55 ni nini na udhaifu wao. CHADEMA ametoa mwongozo mzuri kuhama basi

    Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
  15. Mindyou

    PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

    Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.
  16. Mindyou

    PreGE2025 Boni Yai: Kama Mbowe angetaka kukiua chama angekiua kwenye kipindi cha Uchaguzi

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari, Boni Yai amesema kuwa kuhusu tetesi za Mbowe kutaka kuvunja chama ni za uongo kwani Mbowe angetaka kuiua CHADEMA angeiua kwenye kipindi cha Uchaguzi "Kama Mbowe angetutaka kwenye Uchaguzi ule chama kinakufa, kipindi cha...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

    Wakuu. Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu. Press itaanza muda wowote kuanzia sasa. Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55? Kaa...
  18. C

    Jamhuri waomba kuwaficha mashahidi wao kesi ya kina Boni Yai na Malisa

    Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____ JAMHURI: Mheshimiwa, ikupendeze, naitwa Wakili wa Serikali Mwandamizi, Clemence Kato, nikishirikiana...
Back
Top Bottom