Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Uganda (UPDF), ambaye pia ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni, amempa aliyekuwa mpinzani mkuu wa Museveni katika Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, Bobi Wine, saa 48 ajisalimishe kituo cha polisi. Taarifa hiyo imetolewa kupitia ukurasa wake wa mtandao...