binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  3. JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  4. JamiiForums Tanzania Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  5. JamiiForums Tanzania Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    NATAFUTA BINTI WA KUOA. Email yangu natafutamke872@gmail.com Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi Urefu: 158 cm Umri: 30 Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa. Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Elimu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Una neno gani la kumtia moyo huyu binti?

    ]
  8. JamiiForums Tanzania Binti mlokole

    Habari ,nina swali kwenu wapendwa waumini wa madhehebu ya kilokole,nimepata binti wa kilokole ninataka kumuoa na tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu sasa na tumeshatambulishana nyumbani,lakini madai yake anasema mpaka Mungu amjibu kua mimi ni mtu sahihi kwake au laa na maombi amefanya...
  9. JamiiForums Tanzania Binti! Jioneshe kwa uhalisia wako! Be natural! Don't fake life! Utaishia kwa fake guys!

    Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu anayejielewa kubana matumizi?😏 Pale nilipopanda Mbezi mwisho, alipanda mdada mmoja umri wake yuko chini ya 20...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DR SULE amesema wanawake wote wa kiislam peponi chuchu zao zitakuwa kama msumari na maumbile yao kama binti wa miaka 16 kwa ajili ya wanaume wa enjoy

    Habari wadau. Msikilize Shehe maarufu Alhaj DR sule anavyotoa mawaidha msikitini. Kwenye video attached Dr sule anafundisha wanawake wote wa kiislamu watakaoingia peponi wote watakuwa chuchu saa sita, na hata wale waliozaa matiti yao yatasimamishwa na Allah na kuwa kama msumari, na hata...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

    NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI? Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!! Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kama macho ya taifa zima sasa hivi yamegeukia kwenye makalio ya huyu binti, sasa hivi hata kama ukija na uvumbuzi wa kisomi watu hawatakuelewa🤣

    Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral tests zote ila wapi, LIFE🤣
  14. JamiiForums Tanzania Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  16. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mpumbavu ni yule anaye mfukuza binti yake kisa kapata ujauzito au kumlazimisha binti yake aolewe na jamaa aliyempa ujauzito

    Bwana ni mwema wakati wote. Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA. Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kufanya kazi stationery

    Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery, SIFA: Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery Anajua kutumia computer Mwaminifu Awe na umri 20-25 Awe ni mkazi kati ya haya maeneo Mbezi kimara, Kinyerezi Malamba Mawili na Segerea. Mwenye SIFA hizo aje PM
  19. JamiiForums Tanzania Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…