binance

Binance is a Cayman Islands-domiciled cryptocurrency exchange that provides a platform for trading various cryptocurrencies founded in 2017. As of April 2021, Binance was the largest cryptocurrency exchange in the world in terms of trading volume.Binance was founded by Changpeng Zhao, commonly known as "CZ", a developer who had previously created high frequency trading software. Binance was initially based in China, but later moved its headquarters out of China due to China's increasing regulation of cryptocurrency.

View More On Wikipedia.org
  1. FestoKaguo

    Kama na wewe ni kijana wa kitanzania na una hii tabia basi huu uzi unakuhusu

    Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia...
  2. Msokwa1

    Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

    Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
  3. FestoKaguo

    Kwanini Pi Coin Haijalistiwa na Binance

    Kwema watu wa JF Nimeona mtaani watu wakiwa na maswali mengi juu ya kwanini Pi Coin haipo na haijalistiwa kwenye exchange ya Binance au masoko makubwa ya cryptocurrency kama Coinbase, Kraken, na KuCoin. Watu wengi wana matumaini makubwa juu ya Pi Network, lakini bado kuna changamoto kadhaa...
  4. FestoKaguo

    Muendelezo wa njia za kutoka pesa Binance kwa kutumia Binance Pay

    Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki. Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
  5. FestoKaguo

    Njia nne unazoweza kuzitumia kutoa crypto zako kwenye app ya Binance

    Kama umekuwa ni mtumiaji wa hizi cryptocurrency exchanges kama OKX, BYBIT au Binance kwenye kufanya transaction za cryptocurrency basi utakuwa umegundua kuwa P2P au Peer to peer trade ( Biashara baina ya mtu na mtu) kuna namna fulani imekuwa sio safe sana kuitumia kama mwanzo hasa kama unaifanya...
  6. Gai da seboga

    Wazee wenzangu wa Airdrops ' Sasa Binance Wamekuja Na Moonbix, Wakati wa kupiga Hela.

    Binance ni exchange number 1 Duniani nayo wamekuja na airdrops kwa Jina la Moonbix Hii ni rahisi na tutaunda $1000 kirahisi zaidi. Inakuchukua sekunde 11 kujoin n kuwa rewarded https://t.me/Binance_Moonbix_bot/start?startApp=ref_715554966&startapp=ref_715554966&utm_medium=web_share_copy
  7. Amaizing Mimi

    Msaada wa Binance

    Bila shaka mu wazima na mnaendelea na majukumu. Moja kwa moja niende kwenye mada,naomba kufahamishwa kuhusu binance. Kwanza binance ni nini? Inafanyaje kazi? Faida zake? Hasara kama zipo. Nimeingia mjini X (twitter)nimeona kuna mdau kauliza ni app gani za kutengeneza pesa ulizonazo kwenye simu...
  8. M

    Binance kuziondoa kina Shiba Inu kwenye platform yake

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Crypto exchange inayoongoza duniani Binance imeziondoa baadhi ya cryptos kwenye platform yake kwaanzia leo tarehe 28 june 2024. Will no longer be supported. Crypto ambazo binance imeziondoa ni Altcoins (cryptos uchwara) Shiba Inu (SHIB), Chainlink (LINK), Meme...
  9. Heparin

    Mwanzilishi wa Binance ahukumiwa kifungo cha Miezi minne Jela kwa kukiuka Sheria inayozuia Utakatishaji Fedha

    Mwanzilishi wa Binance na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Changpeng Zhao alihukumiwa kifungo cha miezi minne jela Jumanne hii, Aprili 30, 2024 baada ya kukiri kosa mwaka jana la kukiuka sheria za serikali za utakatishaji fedha pamoja na kampuni yake ambayo pia ilikiri kukiuka...
  10. MOSHI UFUNDI

    Kuwa wakala wa p2p binance

    Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?
  11. Fbn

    Je, wajua Wakala mkubwa wa cryptocurrency ambaye ni Binance hana ofisi kuu?

    Ubadilishanaji mkubwa wa kifedha unaokua kwa kasi zaidi ulimwenguni hauna ofisi kuu au anwani rasmi, hauna leseni katika nchi ambako hufanya kazi na ina mtendaji mkuu ambaye hadi hivi majuzi hangejibu maswali kuhusu eneo lake. lianzishwa miaka minne tu iliyopita, Binance ndiye kampuni kubwa...
Back
Top Bottom