President William Ruto ameidhinisha rasmi Division of Revenue Bill, 2026, hatua ambayo sasa inafungua njia kwa county governments kupokea KSh428 billion katika mwaka wa kifedha wa 2026/27. Hafla hiyo ilifanyika State House, Nairobi, baada ya National Assembly kuidhinisha toleo la mwisho la...