Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo.
Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda.
Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...