Biharamulo is a town in northwestern Tanzania. It is the district headquarter of Biharamulo District. Biharamulo used to be a German administrative center in colonial times. Biharamulo Game Reserve is located north of the town.
BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT
Biharamulo ndio wilaya yenye miundombinu imara zaidi katika mkoa wa kagera ,inakuungamisha na Mkoa wa Geita ,Mwanza ,Uganda,Rwanda ,Burundi, Kigoma hadi DRC
ndio wilaya yenye idadi kubwa ya watu na makabila mchanganyiko
📞 +255 763 773 192
INAUZA VIWANJA...
BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT
Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC
📞 +255 763 773 192...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025 amesema ikiwa kura za Dkt. Samia Suluhu Hassan hazitafika...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025. Akizungumza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Mwl. Mbelwa Petro alisema...
BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA
Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa
Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .
Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhandisi Ezra Chiwelesa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kipindi Cha 2020-2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha pili kama ulivyo utaratibu wa chama hicho.
Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea...
SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025.
Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa.
Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA
NDUGU WAJUMBE.
Kabla ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa hajawa mbunge jimbo letu lilikuwa linapokea kiasi kidogo sana cha bajeti cha milioni 688 tu kwa mwaka huku majirani zetu katika wilaya za mkoa wa kagera na taifa zima walikuwa wanapokea mabilioni kila...
UTANGULIZI.
Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya.
SHUKRANI.
Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
WAJUMBE HII MIRADI MNAIONA KAMA SISI WANANCHI TUNAVYOIONA.
Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu na maji kila kona ,kila kata kila kijiji kila bomba haikuwa hivyo kabla ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa hapa biharamulo.
Tunakwenda kwenye uchaguzi huku tukiwa na mradi mkubwa wa maji wa ziwa...
Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano .
Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria
Wananchi ambao ndio...
UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA .
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba .
"Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili...
UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE.
Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na kuzinduliwa kuna baadhi ya huduma zilikuwa bado hazijaanza ikiwemo huduma ya mionzi hapa mbunge wa...
Wakazi wa kijiji cha Migango hawasafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya tangu zahanati hii iliyojengwa chini ya pesa za mfuko wa jimbo kutoka ofisi ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa kumalizika.
Zahanati hii yenye vifaa, toa huduma na mazingira mazuri imekuwa msaada kwa wanamigango...
MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO .
Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua kujenga madarasa kwa kutumia miti na udongo ili kuwanusuru watoto wao walikuwa wakitembea umbali...
GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO.
Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa kusafirisha vifaa vya ujenzi na misaada ya kibinadamu na kuamua kutoa gari lake likae jimboni moja kwa moja...
RUWASA BIHARAMULO WAANZA KUTEKELEZA KWA KASI MAELEKEZO YA KATIBU MKUU NCHIMBI UJENZI WA MRADI MKUBWA WA MAJI NYAKANAZI, TUNAJENGA MRADI WENYE THAMANI YA BIL 2.9 "TUNATARAJIA KUONDOA KABISA CHANGAMOTO YA MAJI KATIKA ENEO LA NYAKANAZI" - BIHARAMULO.*
📍 Ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Maji katika Kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.