bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu uliyotumia kusambaza umbea itumie mwaka huu kusambaza bidhaa

    KUWA MMBEA UTATAKIWA : 1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo) 2.Ujuane na watu wengi 3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu 4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu. 5.Usiwe na hasira za haraka pale ukiwekwa mtu kati kusutwa😊 SIFA HIZO ZA MMBEA NYINGI NI SIFA ZA MFANYABIASHARA...
  7. JamiiForums Tanzania Bidhaa Amazon

    Habari, Kuna bidhaa nataka kuagiza (mini projector 📽️) kutoka Amazon. pakuanzia kuhusu Amazon najua ila swali langu ni:- Je, nikiagiza bidhaa Amazon, nitatakiwa kuichukulia wapi(destination)? Kama nikikamilisha taratibu zote za manunuzi?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anauza kwa bei ya jumla bidhaa zifuatazo naomba tuwasiliane

    Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo 1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida 2. Blubendi ndoo ya lita10 3. Foili 4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake. Kama upo tayari naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

    Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
  12. JamiiForums Tanzania Wasambazaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani.

    Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani. Population ya ukristo nchini China -According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as Christian, which is roughly 28 million people. China ndio taifa kubwa la ukana mungu duniani. Wachina kwao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja. kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Kushuka kwa Dola Kutapunguza Bei za Bidhaa

    RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi. Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

    Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  18. JamiiForums Tanzania Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  19. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nunua Bidhaa online kutoka china aliexpress TZ

    Top On Sale Product Recommendations! New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off) 🔗Click & Buy: Here on Aliexpress Tanzania From China #Aliexpress #Amazon #Christmas #shopping...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…