biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. Orodha ya Mistari iliyo nichanganya kwenye Biblia takatifu kuhusu Ubatizo

    Msaada, Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana...
  2. Je Biblia inapoongelea MVINYO na DIVAI inamaanisha nini? Je DIVAI na MVINYO vinaeitwaje kwa Kingereza?

    Muujiza wa kwanza alioufanya Yesu ulikuwa ni kubadili maji kuwa divai. Yesu alikuwa anagonga maji mazuri, ndio maana mara kadhaa kuwa walimwita mlevi, lakini walokole wanabisha wanasema eti Yesu alitengeneza juice. Sasa nataka waje wasome hapa Luka 7:31-50 BHN Yesu akaendelea kusema, “Basi...
  3. Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana.

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  4. F

    Maneno ya Biblia Yaliyowavuruga Wanafalsafa Niccolo Machiavelli na Karl Marx

    Mathayo 5:5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Niccolo Machiavelli, a statesman of the 16th century; he was a philosopher who was contaminated just by trying the flavour of politics. He invented his model which outlined ruthless strategies of seizing power like this:- Never show...
  5. Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  6. Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    “Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9. “Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana...
  7. Biblia haijasema asiyefanya kazi asile, Imeandilwa Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Habari! Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika. Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
  8. K

    Nimeshtushwa na maneno ya msingi sana ya Biblia Takatifu!!

    Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana. Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini. Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu. Nikafumba macho...
  9. Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  10. Maana ya Upendo ni hii

    1 Wakorintho 13 (Biblia Takatifu) ¹ Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. ² Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si...
  11. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  12. Wingi wa watu na uzito wa sauti zinazomtetea Mbowe zinamfananisha na Baraba wa kwenye Biblia

    6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji. 8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
  13. F

    Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  14. Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
  15. Naishi kwenye misingi ya vitabu vitakatifu - Koran na Biblia

    Eti haki sawa, haki sawa na nani? Mimi hata nikiitwa nina mfumo dume, nipo tayari. Wanaume wengi wamesahau na kupoteza nafasi zao na thamani zao na ndiyo maana wananyanyaswa mno. Kwangu mimi ndiye kichwa cha nyumba, mke wangu hawezi kutoka kwenda matembezi au kwao bila ruhusa yangu, regardless...
  16. Mkuyu ni Mti gani?

    Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU. Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
  17. Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  18. Je, Biblia inasema nini kuhusu kupandishwa tozo za miamala?

    Soma Isaya 10:1-4
  19. Rais Samia amuaga Mfugale kwa neno kutoka kwenye Biblia (Joshua 1:9)

    Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake. Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee. Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9 "Je, si mimi niliyekuamuru uwe...
  20. Z

    Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…