biblia takatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Sugu: Mnawaua kwa risasi watanzania halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu KWELI?

    "Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu!KWELI?" - Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
  2. Kitimoto

    Madhara ya Uongozi wa Mabavu Kulingana na Biblia Takatifu

    Katika historia ya kibinadamu, kiongozi wa kweli anapaswa kuwa mfano wa huruma, haki, na upendo kwa watu wake. Hata hivyo, wakati mwingine tunashuhudia viongozi wanaotumia mabavu na nguvu ili kujimilikisha madaraka, na hii mara nyingi husababisha madhara makubwa kwa taifa, familia, na hata...
  3. Setfree

    Jamani Mungu ni Mkuu sana. Kwa tukio hilo, members wa JF wanaweza sasa kuelewa kwa urahisi kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Please, fuatana nami kwa dakika moja nikuelezee kwanini nimesema kwamba kwa tukio hilo, members wa JF wanaweza sasa kuelewa kuwa Biblia ni kitabu cha kweli. Ni hivi: Kuna members wengi humu wanaodai kwamba habari zilizoandikwa katika Biblia ni za kutungwa tu na wanadamu. Mojawapo ya habari...
  4. U

    Enyi wakristo mnakuaje dini moja lakini Biblia yenu ina idadi tofauti ya vitabu? Uislamu dini ni moja na kitabu kimoja tu Quran tukufu

    Wadau hamjamboni nyote? Tuendelee kupeana elimu Wote mmempokea Yesu Kristo lakini kila mmoja ana Biblia yake yenye idadi ya vitabu tofauti! wengine 66, wengine72 na wengineo hadi 81 kwenda juu! Njooni kwenye dini ya kweli na haki ya Mwenyezi Mungu huku kitabu kimoja tu. Siku njema
  5. Bado natafuta

    Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
  6. Oya Tusepe

    Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  7. covid 19

    Nimekuwa nikitafakari kuhusu Biblia na namna waandishi wake walivyoandika matukio mbalimbali kuhusu Yesu. Mambo kadhaa yananipa maswali

    1. Biblia inasema Yesu alifunga kwa siku arobaini jangwani, akiwa peke yake, na akajaribiwa na Shetani. Nani alirekodi majaribu hayo wakati hakukuwa na mtu mwingine aliyeshuhudia na hakuna sehemu inayosema Yesu alisimulia tukio hilo? 2. Katika bustani ya Gethsemane, Yesu alienda kuomba kwa...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  9. tufahamishane

    Tusome wote Biblia Takatifu kwa sauti kubwa

    Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
  10. King Jim

    Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

    BIBLE'S CONSPIRACIES 1. MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU BIBLIA ambayo yatakushangaza hata kama umekuwa Mkristo uliyapata kipaimara na kubatizwa. Namba 6 itakushangaza! Tafadhari USISOME kama hukupitia Bible School. Imeandikwa na King Jim 1. Biblia ndio kitabu kilichokamilika zaidi nilichowahi...
  11. M

    Una mtazamo gani juu ya ongezeko la manabii hapa nchini?

    Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu. Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
  12. Determinantor

    Kwa Mujibu wa Biblia Takatifu, "Machawa" walitendwa hivi

    Kama kuna kitu kilikua hakivumiliki kwenye miaka hio ilikua ni "uchawa". Machawa waliuliwa/uwawa upfront bila kupoteza muda. Natamani Sana Enzi zile zingerudi, tungepoteza Vijana wengi Sana. 2 Samweli 4:10 [10]mtu mmoja aliponiambia, akasema, Tazama, Sauli amekufa, akidhani ya kuwa ameleta...
  13. Mhaya

    Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  14. EINSTEIN112

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    1 Tim 4:12 SUV Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. Lk 2:52 SUV Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. Efe 6:11-18 SUV Vaeni silaha zote za Mungu, mpate...
  15. tpaul

    Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  16. Nelson Kileo

    Je, wajua? - Special Thread

    Habari zenu wadau. Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya kuyashuhudia au kuyasikia kwa muda muafaka. Hii inaweza kua kipindi kilichopita au hata kwa wakati huu...
Back
Top Bottom