biashara ya ukahaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Serikali Inachochea Biashara ya Ukahaba kwenye Treni za SGR

    Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba. Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside. Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaojiuza Zanzibar yadaiwa wanatoka Bara na Kenya. Wanunuzi watoka wapi? Na soko kwa nini liwe Zanzibar?

    Hamjambo! Maswali kama nilivyouliza. Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi? Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo? Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa. Wala huwezi fungua Soko la Viazi Mwadui. Soma Pia: Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

    Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba. Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ihalalishwe ili tuwanusuru wadangaji (makahaba) wanaoongezeka kwa kasi na kupanua wigo wa kodi

    Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao. Laiti kama makahaba wangetambuliwa na wakajengewa mazingira mazuri ya kufanyia biashara yao na wakatozwa Kodi...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na ukubwa wa biashara ya ukahaba Tiktok, kweli siku hizi haina haja kujipanga Riverside

    Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono makahaba kuondolewa

    Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozi😃. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu. Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

    Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak! Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa...
  9. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili

    Najua kwa sasa hoja na habari kuu ni "Mauaji ya Asimwe" na nitakuja kusema kuhusu hili, lakini kwa vile sikupata fursa ya kutoa maoni yangu kuhusu suala la DC Ubungo kukamata watu na kuwaweka ndani kwa kosa la "kufanya ukahaba", tena kwenye siku ya siku kuu huku akiagiza mara baada ya siku kuu...
  10. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo tunaomba vigezo vya mtu anaetakiwa kukutwa kwenye chumba cha guest au lodge

    Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni? Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu...
  11. Leak

    JamiiForums Tanzania Waliokamatwa kwa tuhuma za kununua Makahaba Ubungo kumburuza mahakamani Mkuu wa Wilaya kwa kudhalilishwa! Wadai walifuatwa Guest!

    Wasalaam! Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo! Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?

    Habari zenu wana jamvi, Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kununua Malaya ni sawa na fisi kula mizoga au simba aliyezeeka kula Vibudu

    KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa. Mzoga unapatikana kirahisi. Fisi...
  14. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Tathmini binafsi kuhusu oparesheni ya wajasiria-miili iliyofanywa na DC ubungo (riverside)

    Kwema humu, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali kuhusu oparesheni ya wale dada zetu na kwa bandiko hili naomba niwaite "wajasiriamiili" au "rasilimali watu" ni kweli kumekuwa na idadi kubwa ya wadada ambao husimama nyakati za jioni au usiku siwezi kusema wanajiuza kwani binafsi sijawahi kununua ila...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa Chanzo: Jambo TV
Back
Top Bottom