Rais Samia anashauriwa kutengua uteuzi wa Hassan Bomboko Haraka iwezekanavyo

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,653
5,001
1718930207909.png
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!

Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?

Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.

Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why

Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?

CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed

USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .

A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.

Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.

Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!

Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;

Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .

Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi

Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.

Pia Soma
 
Attachments

  • 1718930166099.png
    1718930166099.png
    601.3 KB · Views: 3
Umeongea kwa uchungu sana, inatia hasira sana. Hizo nafasi wanapeana kama zawadi tu! Ndiyo maana wanafanya mambo ya hovyo kabisa.

Mabango yanatia kinyaa, wayatoe ni upuuzi mtupu, sijui hawajishtukii. Kazi gani anaifanya, zaidi ya kuuza kila rasilimali zetu na kutalii nje ya nchi.
 
Hayo ndo wanayapenda ..umpe mtu mwenye akili timam uongozi hayo maagizo ya kipuuzi toka juu si ataya reason wanapenda machizi likiambiwa zuia maandamano,hamisha watu pale umpe fulan fasta tu wanafanya.Hii nchi kuna watu wamejimilikisha na sisi wananchi tunajifanya kama hatuwajui wakati wanajulikana. Shame to be tanzanian.
 
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!

Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa?

Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kama familia ya mtu binafsi. , na hizo nafasi za DC , CCM mnazichukulia kama ni nafasi zenu na huwa mnawapa watu very low IQ ambao wengine hata form 6 hawajamaliza.

Kwanini Rais anateua nafasi za U DC? Why

Kwanini hizi nafasi zisiingizwe kwenye mchakato wa utumishi, watanzania wenye Qualification waombe na kufanyiwa interview, watanzania wenye akili na maelimu kwa sasa ni wengi mno, kwanini mnaendelea kutoa nafasi kama hizo kwa wasanii na watu wajinga , why manahodhi snaa position just kwa manufaa ya CCM ?

CCM Tupo Karne 21 to 22, msipobadlika na kuchange some of the useless regimen , na mka adopt the new code, you guys very soon mnakuwa kwenye death bed

USA, they go back and realized hatuwezi kuendelea na biashara ya utumwa, huko mbeleni hawa jamaa wataamka na kudai haki zao, lazima to abolish utumwa ili baadae mambo yasiwe mengi. They did .

A man was not born as a typical slave and you will not be able to enslave him forever, unless unahitaji bloodshed huko mbeleni.

Watu smart na wenye akili waliona hili that is why today , we have developed countries ambazo viongozi wetu ndio wanakuja kushangaa miji, akiwemo Samia.

Huko kwetu nchi nzima imejaa mabango kudanganya watanzania, ameweza ametimiza!

Do we really need huu uchafuzi wa mji mzima kuweka mabango kwa vitu nonsense, kama mtu anafanya kazi in a serious note, tuone output , sio kwenye mabango, hizo ni justification za kisiasa, and truly , it is not the right time to mislead watanzania na hizi cheap politics;

Tanzania is very very poor country yenye viongozi matajiri, shame .

Nafasi za UDC
Nafasi za Ukuu wa Mikoa
CEO wa mashirika ya umma
Wenyeviti wa bodi

Wekeni utumishi watanzania wenye sifa waombe; haya mambo ya ma PDF ,yamepitwa na wakati na ni ukiritimba wa Hali ya juu wenye masilahi binafisi na yameleta makarai mengi sana kwenye Ofisi za Umma.

Pia Soma
Wilaya ya ubungo wanaojiuza watafute biashara nyingine wataendelea kukamatwa hakuna kula kwa dezo ,wenzao wanatembeza matunda,nguo,viatu,uji,nk mwendo wa spana tu
 
Good thinking
 
Nafasi ya mkuu wa wilaya na katibu tawala wilaya na wale makatibu tarafa hazina umuhimu kimuundo, kazi zao znaweza kufanywa na halmashauri za wilaya

khs huyo DC ngoja ile kesi iishe tuone kama ataweza kulipa fidia

hv Bashe bado ni waziri au amesha pigwa chini?
 
Malaya na wateja wao wanateseka sana.
Tunamuomba Mkuu wa Wilaya kamwe asirudi nyuma. abane hivyo hivyo.
Malaya wanaeneza virusi vya ukimwi kwa nguvu kazi.
Tena ikiwezekana tunamuomba Rais amateue awe Mkuu wa Mkoa ili akomeshe vitendo vya ukahaba Jijini.

tangu operesheni ianze Ubungo, Malaya wote sasa wameanza kufanya kazi halali, wengine wamerudi vijijini kufanya kazi halali, wengi sasa wanaogopa kuaibika.

Hongera sana DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wema wapo pamoja naye lakini Mungu atamlinda. endelea kuchapa kazi.
 
Vichaa nini
Mungu awape watoto makahaba mjue uchungu wake
Hamjui kwa kufanya hivi ni ujumbe kwa kizazi chetu kijacho (watoto wetu)
Maadili yanaporomoka sana siku hizi
Tunatengeneza kizazi cha sodoma na gomora
Hata kama hatuipendi serikali ya CCM tusiwe watu wa kupinga kila kitu ni ujinga
Mimi natamani operation hii iwe nchi nzima kwa jina la Yesu ✋
 
Back
Top Bottom