biashara ya chakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    Shishi, achana na biashara ya Chakula

    Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa. NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
  2. biz_mtaa

    Mbinu rahisi za kuanzisha huduma ya kuandaa vyakula kwenye matukio (catering service)

    Huduma ya catering service ni miongoni mwa biashara zinazokua kwa kasi kutokana na ongezeko la sherehe, semina, mikutano, harusi, na matukio mbalimbali. Hata hivyo, changamoto kubwa kwa wengi ni jinsi ya kuanza na kutengeneza mpangilio bora wa huduma zao. 🙋‍♂ Mbinu rahisi za kuanza ni pamoja...
  3. S

    Biashara ya chakula Dar es Salaam

    BIASHARA! YA CHAKULA Umekuwa ukipata shida ya kununua..vifaa vya mgahawa kwa bei nafuu! Oky vizuri.uzi huu hapa. Vinauzwa vyombo vya chakula, meza , viti vya plastic . kabati ya chips na bites.na vinafaa vingne kwa mgahawa wako Piga simu +255 716023305 bei tunazungumza vizr.usijari.karbu wote
  4. MFALME WETU

    Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
  5. Fateema

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  6. Pdidy

    Mwenye kujua biashara ya kitimoto wapendwa/mtaji/na sehemu za upatikanaji kwa bei nafuu

    wapendwa Ukiacha biashara nilizonazo nimeamua kujikita kwenye biashara ya kiti moto. kwa wale wa Dar tujuzane inahitaji mtaji wa sh ngapi kuanzia. Mahali pa biashara papo fridge zipo mizani ipo Hasaa nahitaji kujua kiasi cha kuanzia hela zipo. sehemu za upatikanaji kirahisi namaanisha...
  7. Yoda

    Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  8. MUWHWELA

    Tafuta maarifa sahihi ya nini unaingiza mdomoni mwako

    Salam ndugu zangu! Haya ni maoni yangu binafsi ni ruksa kuwaza tofauti. Food industry -Hakuna biashara kubwa duniani kama biashara ya chakula,chakula ikiwa Katika mawanda yote kwa maana ya unachokula na unachokunywa ,HII NI BIASHARA HASWA. Nitaweka Katika makundi matatu ya aina hii ya biashara...
  9. BOB LUSE

    Nahitaji mtu wa kufanya naye ubia, anayejua kupika vyakula mbalimbali vya kiswahili

    Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko. Vijana wanalalamikia...
  10. Kaka yake shetani

    Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  11. O

    Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  12. O

    Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
  13. C

    Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
  14. Mark Francis

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Back
Top Bottom