biashara

  1. JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada jamani biashara yangu inakufa

    Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo. Japo nilianza hii biashara ila nilijipa muda wa miaka mitatu kwamba labda ndio naweza kuona mwanga...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mama lishe watoa wito kwa wadau kuwasaidia kuboresha biashara zao

    Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya kisasa na mitaji ya kuimarisha biashara. Wafanyabiashara hao walitoa wito huo kupitia ‘Coca-Cola...
  4. JamiiForums Tanzania Katika Dunia kila kitu ni biashara

    Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti angekua anapata 50K kwa Bao Moja, toka siku alioanza kufanya mapenzi/ Ngono Hadi Leo maana yake...
  5. JamiiForums Tanzania Data nafuu kwa mfanyabiashara (airtel sme menu)

    OFFLINE ❌ ❌ 🥶
  6. G

    JamiiForums Tanzania Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madini

    Habari wana JF Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri. Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara. Sasa challenge nilokuwa nayo ni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  9. JamiiForums Tanzania Nimevumilia muda mrefu sasa nakaribia kuuteka mtaa hamasa kwa wanaoanza biashara

    Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya tende Misuli na Makobazi

    Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya music kama subwoofeers kubwa na ndogo kwa Dar es Salaam imekaaje?

    Naulizia mwenyeji ujuzi wa biashara ya subwoofeer kubwa na ndogo imekaaje kimzunguko wa fedha kwa DSM
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji Sponsor wakunishika mkono kwenye biashara

    Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miamvuli ya kukingia biashara

    Wakuu Nahitaji chimbo la kupata miamvuli ya kukingia biashara Kalaga Baho Nongwa ngara23
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara ndogondogo

    Wakuu, nahitaji wazo la biashara ndogondogo yoyote Location: Dar es salaam
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nina 65M nifanye biashara gani?

    Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Ninaishi dar na dodoma muda mwingi.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu. Natanguliza shukrani...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Maziwa mtindi na Maziwa fresh

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF, tukiendelea na mapambano ya kila siku Kwenye harakati za mapambano nimefikiria kutafuta eneo kwa ajili ya kuuza maziwa ikibidi kuongeza na bites na vitu vingine. Nimefikiria kupata maziwa fresh, maziwa mtindi, Asas (pamoja na yogurt), Tanga Fresh na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Tech Money: Siku ya leo ninalaza faida ya laki 5, wiki 2 zijazo nategemea kufunga biashara kwa faida milioni 3, kuna wabongo wanapenda sana games.

    Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech. Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…