biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  2. JamiiForums Tanzania Sifa 10 za watu sahihi wa kushirikiana nao katika biashara ya ardhi na majengo hapa Tanzania

    Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  4. JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwaacha huru wachina wafungue biashara yoyote ni mkakati wa serikali kuwachangamsha wazawa

    -Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa wachina. -mhudumu stationary unamuomba akupatie bahasha anakunja midomo. . Unamuomba aweke document...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Una Biashara au Kazi Iliyofichwa?"

    Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya kusisimua—wateja walikuja, pesa zikaingia, na alijivunia kuwa mmiliki. Lakini kadri muda ulivyopita, Ethan...
  6. M

    JamiiForums Tanzania AGIZA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA DUBAI-SALU DXBTZ GENERAL TRADING

    KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI. SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO. TUMEKUWA TUKIFANYA SHUGHULI HII KWA MUDA WA MIAKA 4(MINNE) HADI SASA KWA UAMINIFU WA KIWANGO CHA JUU...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Nimepata msongo wa mawazo baada kuona katuni ya leo ya Masoud Kipanya akizungumzia sakata la Wachina

    Wakuu, Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya. Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba: Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ni alternative ya wakosa ajira

    Kijana ukikosa ajira acha kulia lia tafuta biashara uwe unafanya. Biashara ina hela sana
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote. Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani. Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi...
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti ya biashara hapa Tanzania kuweka bei iliyobandikwa hawataki

    Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi. Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yanaweza kukupotezea biashara yako ni mazoea na urafiki kwenye biashara hiyo

    Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi. Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa. Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Biashara na vyumba vya kupanga kipi bora katika kuwekeza

    Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea, Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya, Aliniomba ushauri kua anataka kuchukua mkopo bank afungue duka la nafaka, Anasema kaenda Bank kuuliza rate ya riba anasema ni kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kampuni yako ipo salama? Usipuuze hili!

    1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA! BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership Information). Muda wa mwisho: 15 Aprili 2025. 🚨 2/ Hili ni hitaji la kisheria chini ya Sheria ya Makampuni...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara

    1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa Muhimu vya kuanzia Biashara ya ufundi simu

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025 Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara upande wa hardware na software muhimu za kuwa nazo. Itapendeza kama utaweka na bei ili niangalie...
  17. M

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUPAKA KWA AJILI YA BIASHARA

    Ni Rahisi kutumia Macro Wax, White Oil, Glycerin, Rangi na Perfume Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kutengeneza mafuta ya kupaka kwa ajili ya biashara. Mafuta haya ni mazuri kwa ngozi, yanatia unyevu, na unaweza kuyaongeza rangi na harufu ili kuyafanya yawe ya kuvutia zaidi sokoni. 🔹...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  19. JamiiForums Tanzania waafrika tulaumiwe kufanikisha biashara ya utumwa

    Biashara ya utumwa imeacha makovu Africa na kuacha historia mbaya juu udhalilishaji wa utu wa mwafrika. Ukifanya tafiti utagundua ya kwamba ni waafrika wenzetu ndio waliofanikisha biashara hii kwa kuwasaidia wazungu na waarabu kupata watu baada ya waafrika kuwauza ndugu zao pia mateka wa vita...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bidhaa moja katika eneo moja inauzwa bei tofauti, hiyo hali inamuathirije ambae anauza bei ghari na anajua mwenzake anauza bei ya chini?

    Nilienda stationary moja nikaambiwa kuchapa nakala ni shilingi elfumoja kwa kila karatasi, jirani yake kkwa kila karatasi kuchapa ni 300, je huyu anaechapa kwa shilingi elfu moja biashara yake inakuwa na hali gani,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…