biashara

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  2. JamiiForums Tanzania Mbinu za kutumia ili biashara isife mapema sana

    Uaminifu wa wateja hauanzi kwenye mauzo, unaanza kwenye muonekano wa biashara yako. Watu huamua kukutrust kabla hata hawajakutafuta – kupitia brand yako, muonekano, na mawasiliano yako mtandaoni. Timiza ahadi zako. Ukiahidi jambo kwa mteja, hakikisha umetimiza. Kuvunja ahadi kunapunguza...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Video making kit

    Habari za jumapili.... Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe, kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
  4. JamiiForums Tanzania Zijue Wilaya na Mikoa yenye mizunguko mizuri ya fedha na biashara

    Kwa ujumla, wilaya zenye mzunguko mzuri wa pesa Tanzania huwa ni zile zilizoko katika mikoa yenye shughuli nyingi za kiuchumi, biashara, viwanda, utalii, au kilimo chenye tija kubwa. Ingawa data mara nyingi hutolewa kwa ngazi ya mkoa, tunaweza kudhani wilaya zilizo ndani ya mikoa hii ndizo zenye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Biashara ya club

    Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au nitapoteza hela
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi niliofanya katika matajiri 100 huwezi mkuta msabato au utamkuta moja kwasababu wanafunga biashara jumamosi

    Hata waislam pamoja na siku kuu ya kuabudu kuwa Ijumaa, biashara zinaendelea kama kawaida, saa sita mchana ataenda kuswali, atarudi kuendelea. Wasabato wengi wanafunga biashara kabisa siku za jumamosi. Jumamosi ni siku ambayo watu wengi wapo free kufanya shopping, kupeleka magari gereji...
  7. JamiiForums Tanzania Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anzia ulipo Biashara Expo kuinua wajasiriamali chipukizi sabasaba

    KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba. Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi la ushauri: Biashara ya nyama choma – nje ya baa

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa kuifanya sehemu ya baa. Nia yangu ni kuifikisha huduma hii kwa watu wa kawaida – wale wanaotafuta...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Siri ya Biashara Zinazoongoza Mitandaoni

    Katika ulimwengu wa sasa wa biashara za kidigitali, ni muhimu kutambua tofauti kati ya kuweka post ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza kwa malipo (paid ads). Wajasiriamali wengi wamekuwa wakijitahidi kuweka picha nzuri, maneno yenye mvuto na hata kutoa ofa, lakini bado hawapati...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ni uhakika

    Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa maeneo ya vijijini (utafiti wangu nilifanyia njombe). Ila ikifika mwezi wa 2 Hadi 6 mahindi huuzwa tsh...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?

    Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kufungua collage ya urembo, mapambo na cherehani

    Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia Natamani kupata mtu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nafikiria kufungua biashara ya play station

    Habari zenu wakuuu. Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara. 1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao 2.kushtakiwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania hakuna bosi mbongo mwenye biashara au kampuni anayependa maendeleo ya mfanyakazi wake

    Wengi wanakupenda ukiwa “useful but controllable”. Ukiwa na mawazo mapya, wanakuona mjanja sana umewazidi akili, unakuwa threat kwao. Ukiwa na ndoto kubwa, wanahofia utawazidi Ukijenga jina lako, wanahisi unataka kuondoka pamoja na wateja wao Hata ujidundulize ununue kagari, ujenge, n.k...
  17. JamiiForums Tanzania Sifa za biashara zenye wateja wengi

    Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena. Sifa kuu za biashara zenye mvuto wa kudumu kwa wateja, kwa kutumia marejeo kutoka kwa blogu...
  18. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

    Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣 Kuna watu ni very...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara nchini upande wa kodi / ushuru

    Vijana tukiwa takribani 40% ya idadi ya watu hapa nchini hivi sasa ... Tumeambiwa tupo wengi tuliyohitimu level mbali mbali za elimu diploma, degree na Masters....(still jobless & moodless) Tumeambiwa tujiajiri na tuwe wabunifu , tumejitajidi na tunaendelea kujitahidi ktk hilo ili kukimbizana...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsia ya kuzuia chuma ulete shambani au kwenye biashara.

    Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika kuzuia au kujikinga dhidi ya chuma ulete mashambani. Hapa kuna dawa na mbinu zinazotumika: --- 🧪...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…