benki ya crdb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, COSTECH wasaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kuwezesha biashara za vijana

    Dar es Salaam. Tarehe 17 Aprili 2025: Katika kuimarisha ubunifu na ujasiriamali miongoni mwa vijana nchini, Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wamesaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuziwezesha biashara...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yatambulisha mkopo wa kidijitali wa 'jinasue'

    Katika mpango wake wa kuongeza ujumuishaji wa wananchi kiuchumi, Benki ya CRDB imezindua huduma ya mikopo ya Jinasue inayowalenga wateja wake wote wenye uhitaji wa fedha. Huduma hiyo iliyozinduliwa na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili itawaruhusu wateja wa benki...
  3. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB mnakwama wapi?

    Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya uhakiki kuwatumia watoto hela? Mnakwama wapi?
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko Huru la Afrika (AfCTA)

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  5. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kumtunuku mteja Ford Ranger, yazindua kadi za TemboCard

    Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari jipya aina ya Ford Ranger. Sambamba na gari hilo jipya ambalo halijawahi kuendeshwa (kilomita...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  7. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatangaza Hatua ya Kihistoria ya Kupanua Huduma Zake Hadi Dubai Inaposherehekea Miaka 30

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakizindua rasmi...
  8. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yafungua matawi mapya Mugango, Sirari mkoani Mara

    Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime. Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za Benki...
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatoa Madawati 80, Viti na Meza 50 Wilayani Babati Mkoani Manyara

    Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Bw. Cosmas Saadat (kushoto) akimkabidhi msaada wa Madawati, Meza na Viti kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Babati mjini Bw Shabaani Mpendu (kulia) kwa shule ya msingi Shikizi ya Muungano Dagailoy ya Wiyala ya Babati, Manyara ikiwa ni mkakati wa...
  10. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB tawi la bunda mnatukosea sana wateja wenu. Pengine mnatuhujumu au mmejisahau!

    Majuzi nilifika kwenye hili TAWI Kwa ajili ya kutoa fedha ATM cha kushangaza hapakuwa na option ya kutoa pesa zaidi ya ile ya kuangalia Salio nk. Ikabidi niwe mpole nikakimbilia kutoa Kwa wakala.Akili yangu ilinituma lile lilikuwa tatizo la muda mfupi nikawa na matumaini litaisha siku hiyo...
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Keti jifunze ya benki ya CRDB yaifikia shule ya wanafunzi maalum, Majimoto Katavi

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga (watatu kulia) akipokea sehemu ya msaada wa magodoro, viti na meza kutoka kwa Meneja wa Benki Uhusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Nyada za Juu Kusini, Pascalia Bura, (katikati) kwa ajili ya Shule ya Msingi ya Majimoto (Shule Maalum), katika hafla ya...
  12. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kushirikiana na Water.Org kuborosha miradi ya maji na usafi

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
  13. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Msigwa asifu ‘Zogo Mchongo’ ya Benki ya CRDB kutoa elimu ya fedha kwa umma

    Dar es Salaam. Tarehe 11 Julai 2024: Akizindua msimu wa pili wa kipindi maalum cha televisheni cha elimu ya fedha kwa umma cha zogo mchongo kinachoandaliwa na Benki ya CRDB, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesifu jitihada hizo zinazolenga kuwakomboa wananchi...
  14. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aipongeza Benki ya CRDB kuanzishwa kwa Benki ya Taifa ya Ushirika

    Tabora. Tarehe 6 Julai 2024: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Benki ya CRDB kwa kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuanzisha Benki ya Ushirika Tanzania ili itoe huduma kwa wanaushirika na wananchi wengine hivyo kuchangia zaidi katika uchumi. Dkt. Biteko...
  15. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashinda Tuzo ya Ubora wa Huduma ya ESQR 2024

    Mkuu wa Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Uriyo (wa pili kushoto) akipokea Tuzo ya Ubora wa Huduma ya mwaka kutoka kwa Michael Harris, Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya ya Utafiti wa Ubora ya Ulaya (ESQR). Wanaotazama ni Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Tanzania Brussels, Vivian Rutaihwa (wa...
  16. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitooa Shilingi Bilioni 995 mpaka Mei 2024

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  18. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

    Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
  19. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
  20. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Back
Top Bottom