benki ya crdb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha

    Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi wakiendelea na kikao jijini Stockholm, hivi karibuni.
  2. P

    DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  3. Pascal Mayalla

    Live from Washington DC: Kongamano la Uwekezaji la Benki ya CRDB, Kuleta Tumaini Jipya la Ewekezaji Tanzania

    Wanabodi, Niko hapa hoteli ya Willard Intercontinental Hotel mtaa wa Pennsylvania Ave NW Washington, D.C kuwaletea yatokanayo na hili kongamano kubwa la uwekezaji la Benki ya CRDB. Anzia hapa Baada ya ule mchaka mchaka wa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA jijini New York, kisha...
  4. Blasio Kachuchu

    BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  5. Kubwjing

    Benki ya CRDB imenikata pesa bila sababu

    Wasalaam nyote. Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote. Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa Kwanza hakukuwa...
  6. Blasio Kachuchu

    Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki ya CRDB Atembelea Matawi na Kukutana Na Wateja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ameendelea na ziara zake katika baadhi ya matawi ya jijini Dar es Salaam kukutana na wateja ikiwa ni siku chache baada ya Benki kukamilisha maboresho makubwa ya mfumo wake mkuu wa utoaji huduma (Core Banking System). Akiwa katika tawi la...
  7. Lord Denning

    Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

    Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala. Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu. Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
  8. Blasio Kachuchu

    Dkt Mpango aiomba Benki ya CRDB kutoa elimu ya fedha wakati akizindua Tawi Buhigwe

    Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
  9. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  10. Jidu La Mabambasi

    CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

    Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka. Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm. Tena hili lilifanyika katika week end. Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki. Hii clip ya malamiko...
  11. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yatwaa Tuzo Tatu Kubwa za Euromoney Jijini London, Ikidhihirisha Miaka 30 ya Uongozi na Ubora

    London / Dar es Salaam, 20 Julai 2025 – Benki ya CRDB imetangazwa kuwa Benki Bora Tanzania, Benki Bora kwa Masuala ya Mazingira, Jamii na Utawala Bora (ESG), na Benki Bora kwa Biashara Ndogo na za Kati (SME) na jarida la kifedha la kimataifa la Euromoney, wakati wa hafla ya kutuza washindi wa...
  12. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yaandika historia kuorodhesha Kijani Bond Soko la Hisa Luxembourg

    Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’ katika Soko la Hisa la Luxembourg (LuxSE). Hatua hii inaifanya Benki ya CRDB kuwa miongoni mwa benki za kwanza za biashara Kusini mwa Jangwa la Sahara kuorodhesha hatifungani ya...
  13. Blasio Kachuchu

    Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  14. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yatoa zawadi kwa watoto Muhimbili, yamuaga Profesa Janabi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi kumtakia utumishi mwema wa majukumu anayoenda kuyaanza hivi punde. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika Hospitali ya Taifa...
  15. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  16. Blasio Kachuchu

    Dkt. Mpango azindua Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, Benki hiyo ikitimiza Miaka 30

    Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Benki ya CRDB. Shule hiyo ya...
  17. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  18. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yapongezwa kwa usalama kazini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa na mifumo bora ya usalama na afya ya wafanyakazi, wateja na jamii kwa ujumla mahala pa kazi. Akizungumza katika kilele cha maonesho ya OSHA yaliyofanyika kitaifa...
  19. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB, COSTECH wasaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kuwezesha biashara za vijana

    Dar es Salaam. Tarehe 17 Aprili 2025: Katika kuimarisha ubunifu na ujasiriamali miongoni mwa vijana nchini, Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wamesaini mkataba wa shilingi bilioni 2.3 kwa ajili ya kuziwezesha biashara...
  20. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yatambulisha mkopo wa kidijitali wa 'jinasue'

    Katika mpango wake wa kuongeza ujumuishaji wa wananchi kiuchumi, Benki ya CRDB imezindua huduma ya mikopo ya Jinasue inayowalenga wateja wake wote wenye uhitaji wa fedha. Huduma hiyo iliyozinduliwa na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili itawaruhusu wateja wa benki...
Back
Top Bottom