benjamin mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was the third president of Tanzania, in office from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

    KWA NINI BENJAMIN MKAPA ALISHINDWA KUCHAPA TAAZIA YA ABDUL SYKES KATIKA THE NATIONALIST BRENDON GRIMSHAW AKACHAPA "OBITUARY" YA ABDUL SYKES KATIKA SUNDAY NEWS (TANGANYIKA STANDARD)? Mgogoro wa EAMWS nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes. Vyombo vilivyohusika katika mgogoro ule...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar 1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza kutoka ktk Chuo Kikuu cha Makerere Uganda 1963 alipata shahada ya uzamili katika masuala ya...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa chamtunuku Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Nishani ya Heshima kwa kuanzisha Vyuo Vikuu binafsi nchini wakati wa utawala wake

    Chuo Kikuu cha Iringa (zamani Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini – Iringa) kinatarajia kumtunuku Nishani ya Heshima Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa ikiwa ni kuthamini mchango wake katika kuanzisha vyuo vikuu binafsi, hivyo kukifanya Chuo Kikuu cha Iringa kuwa chuo cha kwanza binafsi nchini...
  4. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Habari za hivi punde ni kwamba, Gazeti la Mawio limefunguwa kwa miezi 24 kutokana na kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete kwenye mikataba ya madini
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mkapa ilipouza NBC Mwalimu Nyerere alilengwa na machozi

    Heshima sana wanajamvi, Leo naomba tujikite katika mjadala wa athari za uuzwaji wa NBC kwa kampuni ya ABSA ya Afrika kusini.Miaka ya 90s NBC ilikuwa moja ya bank kubwa sana kusini mwa jangwa la sahara ikimilikiwa na serekali ya Tanzania.Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali bank hii ilikuwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hivi, ndege ya Rais aliyonunua Mkapa iko wapi?

    WAKUBWA, HIVI ILE NDEGE ALIYONUNUA MKAPA NA MRAMBA NDO ILE ANAYOTEMBELEA KIKWETE? AU WALIIPAKI SEHEMU, NAOMBENI UPDATES, wengi humu hatujui.
Back
Top Bottom