bei ya jumla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa machimbo ya jeans bei ya jumla

    Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Ubuyu Mtamu sana kwa Bei ya Jumla na Rejareja

    Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti Ladha ya Vanilla Ladha ya Chocolate Ladha ya Pilipili Ni mtamu na hauchubui Mdomoni Call:0752228138 Jumla na Rejareja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

    Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
  4. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  6. JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba connection ya chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla kariakoo. Nataka kufungua duka huku mkoani. Shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua chimbo la vijora vya Bei ya jumla anisaidie

    Leo nimezunguka mno kariakoo, sijafanikiwa kujua chimbo halisi la vijora. Kariakoo madukani Bei ni 5500 hadi 6000 Kwa visivyo na mtandio, na 10,500 hadi 11,000 kwa vyenye mtandio. Swali langu ni je, hawa wao wanaenda kununulia mzigo chimbo lipi, maana hata niliowauliza wamegoma kuniambia...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji 'mifuko ya waraka' kwa bei ya jumla

    Nahitaji mifuko ya waraka robo kilo, nusu kilo, kilo moja na kilo mbili bei ya jumla kwa carton, anayeuza tafadhali tuwasiliane WhatsApp 0744223213.
  9. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata matunda ya Apple kwa bei ya jumla?

    Wakuu, naomba kujua wapi zinapatikana apple (matunda) kwa bei ya jumla hapa Dar? Haya wanayouza buku buku reja reja? Na bei yake ikoje?
  10. JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Wakuu naombeni mniungishe WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Hata pc moja nakupa bei ya jumla . ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la maharage bei ya jumla

    Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi? Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi? Msaada please
  13. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nokia 105 tochi kwa bei ya jumla na rejareja

    Nokia 105 Full box bei ya jumla 22,000. Rejareja 24,000. Zinaingia line mbili Kwa mawasiliano zaidi : 0717 592 165
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta karatasi kubwa za kaki za kujaradia na bahasha kwa bei ya Jumla

    Habari wakuu ,title inajitosheleza
  16. JamiiForums Tanzania Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

    Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nauza calculator original kwa bei ya jumla na rejareja

    Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/- Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu #usipigwe na kitu kizito Whatsapp 0699358049 Karibu sana wewe mwanachuo,mwanafunzi,mwalimu, wafanyabiashara...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta wanapouza simu ndogo (viswaswadu) kwa bei ya jumla

    Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…