bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  2. Waufukweni

    Polisi Pwani: BAWACHA walikuwa wanaenda kutekeleza uhalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa dhamana. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Machi 8, 2026 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi...
  3. The Burning Spear

    BAWACHA wangeachwa wafanye kongamano lao wasingetrend kama sasa CCM akili hamna.

    GT Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua. Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia...
  4. Mafyangula

    Polisi Bunda imewakamata jumla ya Bawacha 39 kutoka mikoa ya Dodoma na Iringa ikiwa ni zuio la kuingia Mkoa wa Mara

    Jeshi la Polisi Bunda mapema leo limewakamata jumla ya Bawacha 39 kutoka mikoa ya Dodoma na Iringa. Kati yao, 31 wanatoka Dodoma na 8 wanatoka Iringa. Awali Bawacha waliotoka Dodoma walikuwa wanasafiri kwa kutumia basi dogo aina ya Coaster, huku wale waliotoka Iringa wakiwa kwenye basi la...
  5. R

    Katibu Mkuu BAWACHA, Pamela Maassay: Jeshi la Polisi halina mamlaka kutoa tafsiri ya kimahakama, tunampango kwenda Musoma kuadhimisha siku ya wanawake

    "Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma katika Maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani, tunajua hatujavunja Sheria." Amesema Pamela...
  6. R

    Vifo vingine kama vya 29.10 vinakuja tusipozuia. Polisi Musoma acha Bawacha wafanye sherehe yao, mtasababisha maafa makubwa.

    Haya matamko ya polisi Musoma kuwa wanazuia maazidhimisho ya chadema ya Siku ya wanawake duniani, italeta mauaji kama ya October 29,2025. Tunayasema haya wenye mamlaka wazuie POLISI kufanya kinyume cha sheria.. Yalisemwa hivi hivi, wenye viburi wakadharau. Leo tunalia na tume za michongo!
  7. Erythrocyte

    Kimenuka: Pamoja na Katazo Batili la Polisi BAWACHA yatangaza kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani bila kuogopa chochote

    Taarifa zaidi zinaeleza kwamba siku ya wanawake ya Dunia siyo shughuli ya Kisiasa Wala si sherehe ya COM ama si mali ya TANZANIA ama viongozi wake Hii ni siku ya Dunia isiyochangamana na masuala ya itikadi za vyama. Kwahiyo Katazo la Polisi wa com limedhibitiwa n.a. kupuuzwa, Chadema...
  8. R

    BAWACHA epukeni makosa ya kiufundi kwenye matamko yenu tafadhali

    Salaam! Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika. Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29. Serikali huja...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 BAWACHA Pwani yalaani Kunyimwa Dhamana kwa Lucy Shayo na Polisi Morogoro

    Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Pwani limelaani hatua ya Polisi Mkoa wa Morogoro kumshikilia mwanachama wake, Lucy Shayo, kwa zaidi ya siku tatu bila dhamana, wakidai kitendo hicho ni kinyume cha sheria na haki za binadamu. Kwa mujibu wa taarifa ya Septemba 13, 2025...
  10. Mama Ametufikia

    Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  11. Stuxnet

    BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
  12. DuaZaMama

    GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  13. Waufukweni

    GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.” Akizungumza na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwenezi wa BAWACHA Taifa ahutubia kwenye mkutano wa CHAUMMA

    Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako mkoani Njombe leo Julai 17, 2025. Mligo katika hotuba yake amesema wananchi wanahitaji Wawakilishi...
  15. Just Pray

    PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  16. Just Pray

    PreGE2025 BAWACHA: CHADEMA bado ipo imara, kwenye majimbo 30, wameondoka viongozi wanne tu

    Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati Emmy Kibatala amesema kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujawateteresha hasa kuelekea uchaguzi mkuu ambapo amedai watashiriki ikiwa mifumo ya uchaguzi itawekwa sawa...
  17. Tabutupu

    Tetesi: Mwenyekiti Bawacha kubwaga manyanga kwa press wiki ijayo

    Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo. Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500. Kazi ipo
  18. JanguKamaJangu

    BAWACHA waliomuunga mkono Mbowe wasema walioondoka CHADEMA wana kiburi na ubinafsi

    https://www.youtube.com/live/wivzX09ThGk?si=t1hbaoJeAxdcEeOU
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa BAWACHA Ilala: G55 wameahidiwa Majimbo 30 na fedha Tsh. Milioni 200 kila jimbo, ushahidi tunao

    Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati unaendelea dhidi yao. Gisunte amesema wanazo taarifa kuwa G55 waliojitoa uanachama wa Chadema...
  20. Just Pray

    TANZIA Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Siha afariki dunia

    Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...
Back
Top Bottom