Habarini wadau.
kuna sehem haina umeme na inalazimu kutumia torch kwa ajili ya mwanga, sasa hii tochi ina battery moja na kila siku inabidi uweke battery mpya.
hapo kwa mwezi ni kama elf 15.
hio sehem nikawafundisha kuunganisha battery 2 kila zikiisha, nazo zikiisha zinaunganishwa 4...