bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Bashungwa awaonya Wakandarasi Wazawa wanaosaini tenda kisha wanaingia mitini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya...
  2. Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  3. R

    Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  4. Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  5. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  6. Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
  7. Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  8. Bashungwa amkabidhi Dkt. Msonde Taasisi ya TEMESA na TBA, ataka mageuzi ndani ya Miezi Mitatu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya mabadiliko na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokabili Taasisi hizo ili...
  9. Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  10. Bashungwa Kusimamia Maelekezo ya Dkt. Nchimbi, Barabara Inayounganisha Kagera - Kigoma Kukamilika Oktoba, 2024

    BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
  11. PreGE2025 LGE2024 Bashungwa: Tukitaka viongozi wazuri hatua ya kwanza ni kujiandikisha kwenye daftari

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika vituo ili kupata Kitambulisho cha Mpiga Kura kitakachowawezesha kupata haki ya kuchagua Viongozi...
  12. PreGE2025 LGE2024 Bashungwa Atoa Wito kwa Watanzania Kujitokeza Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    BASHUNGWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika vituo ili kupata...
  13. Dkt. Nchimbi Amuagiza Bashungwa, Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa - Karagwe Kuanza

    DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha...
  14. DKT. Nchimbi amuagiza Bashungwa, ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Karagwe uanze

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km 62.5) kwa kiwango cha lami unaanza mara moja ili kuondoa adha wanazozipata wananchi wa Wilaya ya...
  15. Waziri Bashungwa: Wapangaji wa nyumba za TBA kulipa kodi ni wajibu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi ya pango ili fedha hiyo itumike kujenga majengo mapya na kuboresha huduma katika majengo mengine ya Wakala huo. Bashungwa ametoa...
  16. Bashungwa: Mpasuko Barabara ya BUSUNZU - KIGOMA sio makosa ya Mkandarasi, hakuna upigaji, ni sababu za Kigeolojia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi kwenye ujenzi bali umesababishwa na sababu za kigeolojia. Amebainisha kuwa...
  17. Bashungwa Atoa Tamko Mpasuko Barabara ya Busunzu - Kigoma, Sio Upigaji.

    BASHUNGWA ATOA TAMKO MPASUKO WA BARABARA BUSUNZU - KIGOMA, SIO UPIGAJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi...
  18. Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
  19. Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma utakuwa mwanzo wa reli katika Sekta ya Miundombinu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Kigoma ili kuufanya Mkoa huo kuwa mwanzo wa reli na sio mwisho wa reli katika Sekta...
  20. Waziri Bashungwa Awakaribisha Wawekezaji Karagwe, Miundombinu Yaendelea Kuboreshwa

    BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…