Hiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema
"Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu"
Hayo ndiyo...