Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.
Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole.
Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni?
Hyocrites pharisees
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
Jamani njooni msikilize Bashiru!
Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi?
====================
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashirubashiru ally
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashiru ally
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
rais
rais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha.
Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani!
Kesho nani atakuwa salama
Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake
Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic kuwatukana alivyozoea hii ni WITO kwao waache kujipendekezaogeni maji mlale CCM ya sasa ni ya Bashiru wa...
Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
"Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia nchi, kuna vita ambavyo vinatikisa uchumi wa dunia lakini pia kumezuka siasa za kujitambulisha kwa...
Mratibu wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mikoa ya Kanda ya Kati, Dk Bashiru Ally, amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Akizungumza Septemba 21, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Parking, Nzega Mjini, kwa...
Great Thinkers.
Leo tunashuhudia Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA akishtakiwa kwa kosa asilotenda la Uhaini. Sote yaani sisi raia na mpaka wanaomshtaki wanajua Lisu hajatenda wala kuthubutu kuwa mhaini.
Bila kuzunguka sana, naenda kwenye hoja yangu.
Kwa nyakati tofauti, viongozi waandamizi wa...
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama...
Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli.
Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida nyingi sana za kukifanya kubakia madarakani.
Kwa maana hii basi ccm itatawala milele labda aje kiongozi...
Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!!
Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli!
Waonyeshe kadi zao walizipata lini na wapi kama siyo kadi za michongo.
Mtu aliyelelewa vizuri na CCM hawezi...
Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form
Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui .
Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science.
Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
Wasomi wetu hawa (PhD holders) walipata bahati ya kuteuliwa Ubunge kwa zile Nafasi kumi (10) za Mheshimiwa. Sasa zoezi la kuchukua Fomu limepita na wao wapo kimya! Kulikoni?
Sura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.