Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...