bashe

Bashe (Chinese: 巴蛇; pinyin: bāshé; Wade–Giles: pa-she) was a python-like Chinese mythological giant snake that ate elephants.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    Tangu Bashe atemwe uwaziri ni kama kachanganyikiwa fulani hivi

    Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi. Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji. Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
  2. and 998 others

    Dr Hussein Bashe MP (PhD) Waziri Mkuu ajae

    Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
  3. fimboyaukwaju

    PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  4. Carlos The Jackal

    Bashungwa Umewaumiza Wa Tanzania , Bashe Umeibagaza Nchi sana, Jiandaeni Dec 9 na pengine Isifike hiyo Tarehe

    Hili Halina cha Saliatume , Wala Cha MARIDHIANO. Yoyote alohusika Kuwaua Watanzania Atafikiwa tu !!. Uzuri sisi tumeshaziea Misiba na Maumivu , sisi ni watoto wa Mafukara, Hapa Duniani hatuna Cha kupoteza Sasa basi Jiandaeni !!.
  5. Now and then

    Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  6. Just Pray

    PostGE2025 Bashe: Namshukuru Rais Samia kwa imani kubwa aliyonionyesha kipindi chake cha kwanza cha uongozi na kuniteua

    Baada ya kutupwa nje katika baraza jipya la mawaziri Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema: Natumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na kwa baraka zake katika safari yangu ya utumishi. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa...
  7. Analogia Malenga

    Kumbukizi: Bashe aliwahi kukemea utekaji na kutaka ukamataji ufuate utaratibu wa kisheria

  8. W

    GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Bashe amuomba Rais Samia Nzega iwe mkoa. Rais Samia asema atalifanyia kazi

    Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na...
  10. K

    Sijazielewa hizi ruzuku za pembejeo za kilimo Bashe

    Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000. Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma kipindi kile. kwanza mbolea nyingi ni feki mamlaka za kudhibiti zinaongwa tuuu
  11. T

    Sie wakulima mtusaidie kuelewa, hivi bunge likivunjwa mawaziri wanaendelea na uwaziri? Nimemwona Bashe 88 anapiga kazi.

    Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
  12. W

    Bashe awaonya Wanasiasa wanaowandanganya Wakulima kuelekea Uchaguzi

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani, akisema ni hatari kwa ustawi wa sekta hiyo. Akizungumza leo ljumaa, Agosti 8, 2025 jijini Dodoma katika...
  13. McLaren

    Bashe amkabidhi Rais Samia tuzo kutambua mchango wa Rais kwenye sekta ya kilimo na uvuvi

    Wakuu Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya NaneNane leo Wizara ya Kilimo na Ufugaji ambayo inaongozwa na Hussein Badshe imemgaia Rais Samia tuzo
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Bashe ashinda kura za maoni CCM, Jimbo la Nzega Mjini

    Mbunge Wa Nzega Mjini aliyemaliza Muda wake Hussein Bashe amefanikiwa kuibuka kidedea kwenye Kula za Maoni na Kupitishwa na Wajumbe kwenye Kinyang’anyiro cha Kugombea nafasi ya Kuiwakilisha CCM kwenye Kiti cha Ubunge wa Jimbo Hilo . Bashe amepitishwa na Wajumbe na Kuongoza kwenye kata zote 10...
  15. Dr Akili

    Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  16. britanicca

    Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  17. Poppy Hatonn

    Ukisema Bashe amevuruga Uchaguzi hiyo haieleweki.

    CCM wangeweza vipi kuruhusu jambo kama hilo litokee? Hiyo itakuwa ni kuwachezea masharubu wanajeshi ambao wamesema wana wasiwasi kidogo kuhusu watu fulani kushika madaraka ya juu katika nchi . Immigration pia wamesema watu kama hao wenye uraia tata wanavumiliwa kidogo lakini lazima waache...
  18. R

    Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

    KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelekezo...
  19. S

    Kumbukizi: Hussein Bashe ajibu waraka wa Kinana na Makamba, Je atajibu tena hoja za Polepole?

    Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na makatibu wakuu wastaafu wa CCM Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.
  20. Carlos The Jackal

    Bashe ni MSOMALI? lazima ajitokeze kimbelembele kujibu Hoja za Polepole ili Mamlaka iendelee Kumkumbatia

    Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la Sukari, Mnunuzi Mmoja wa PAMBA, huku wakulima wakizidi kua Masikini Hana namna ya Kulikwepa, Njia...
Back
Top Bottom