barua ya wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mookiesbad98

    DOKEZO Barua ya wazi Kwa Mkuu wa Trafiki

    Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo kandamizi. Afisa waliweka kamera na kusimamisha wenye magari mengi kwa kisingizio wanadaiwa fine. Mbaya...
  2. Nguva Jike

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu akiwa Kilindi Tanga

    Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026. Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
  3. A

    KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  4. Stuxnet

    Maagizo ya Waziri Mchengerwa kufunga Pharmacy ya Temeke: Barua ya wazi kwa Pharmacy Council

    1. UTANGULIZI Rejea kichwa cha habari hapo juu. Sisi, kama, hapa nawasilisha malalamiko rasmi dhidi ya agizo la mdomo lililotolewa na Mhe. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, mnamo Januari 2026, la kumtaka mmiliki wa duka lililo jirani na Hospitali ya Temeke kulifunga mara moja. 2. UHAKIKI WA...
  5. Revocatus James Ngoja

    Barua ya wazi katika siku ya kuzaliwa ya CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia

    BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia, Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
  6. Kiranja Mkuu

    Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

    Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine...
  7. Zogoo da khama

    KERO Barua ya wazi kwa Shabiby bus

    Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo: Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la...
  8. Moaz

    PostGE2025 BARUA YA WAZI: Sauti ya Busara katika wakati wa mgawanyiko

    Ndugu Watanzania, Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na busara. Leo, nchini mwetu zipo sauti nyingi. Serikali inaona inalinda utulivu. Wananchi wanaona...
  9. M

    PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  10. M

    Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  11. N

    Barua ya wazi kwa Mkurugenzi wa VETA; Ombi la kuruhusiwa kuomba nafasi ya kazi

    Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting) Ndugu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kwa heshima kubwa, mimi naandikia barua hii kwa niaba ya wahitimu wa Diploma in Pipe Works Engineering nikiwa na lengo la...
  12. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Baba Mtakatifu, Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama ndugu, wakiwa si tu watu wa imani bali Watanzania. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  13. Y

    Barua ya wazi kwa Mtume Mohammad (S A W)

    As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma, Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita, Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza, Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako. Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi, ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri...
  14. M

    Barua ya wazi kwa Jaji Mkuu: Mheshimiwa wananchi wanapoteza Imani kwa mahakama yako

    Ndugu Jaji mkuu: Nakusalimu Hivi karibuni kumezunguka mtindo wa kuibuliwa kwa kesi nzitonzito ambazo zinaonekana dhahiri ni za kisiasa. Tumeshuhudiwa Ndugu Mwabukusi, Dr Slaa na Mdude Nyagali wakifunguliwa kesi ya uhaini. Lakini ukiangalia sababu ya kesi hizo ni kwa sababu ya wao kupinga vikali...
  15. R

    Kutesa Wapinzani na kuwazuia kufanya siasa ni hatari kwa mustakabali wa kisiasa wa vijana ndani ya CCM

    Yah: Kutesa Wapinzani na Kuwazuia Kufanya Siasa – Hatari kwa Mustakabali wa Kisiasa wa Vijana ndani ya CCM Ndugu Viongozi wa Chama, Napenda kuanza barua hii kwa heshima kubwa nikiwa kama kijana mtiifu, mzalendo na mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chama chetu kimejijengea historia...
  16. incredible terminator

    Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo: Maombi ya kulindwa kwa utamaduni na maisha ya jamii ya Wahadzabe

    Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara yako tukufu kulinda utambulisho wa jamii ya Wahadzabe dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri maisha...
  17. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  18. NALIA NGWENA

    Barua ya wazi kwa rais Samia kuhusu ushauri katika ufanisi wa ofisi za umma na maadili ya watumishi wa umma

    YAH: OMBI NA USHAURI KUHUSU UFANISI WA OFISI ZA UMMA NA MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nachukua nafasi hii kukuandikia barua ya wazi nikionesha hisia zangu na hisia za wananchi wenzangu, hasa wa hali ya chini, kuhusu baadhi ya changamoto ambazo...
  19. M

    Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

    Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa. Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai. Kwani uongo unaporudiwa mara kwa mara huonekana ni Ukweli. Tz kuna propaganda ya muda mrefu pale watu wanaobaguliwa kwa imani zao kuonekana ni...
  20. M

    Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
Back
Top Bottom