baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchambuzi wa Mgawanyo wa Baraza jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania kwa Jinsi

    Ufuatao ni mgawanyo wa Baraza jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika Serikali inapiga hatua kubwa mno. Serikali inapambana kuwaletea maendeleo Watanzania wote
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni Baraza la matumaini na kukidhi matarajio ya watanzania Wote. Neema yaja Kitambo Kidogo

    Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita , nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amekata kiu...
  6. JamiiForums Tanzania Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

    1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2 Wizara ya Afya Mchengerwa Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli ya Innocent Bashungwa kwa Rais Samia baada ya mkeka mpya wa baraza la Mawaziri

    . Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono juhudi na maono mazuri ya uongozi wako pamoja na Serikali ya Awamu ya 6 unayoiongoza...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

    Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais -...
  9. JamiiForums Tanzania CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  11. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri la SADC lahitimisha kikao chake jijini Antananarivo

    Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kimehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 14, 2025. Ujumbe wa Tanzania katika kikao hicho umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

    Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo. nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa. 1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari...
  16. JamiiForums Tanzania Mtaje waziri aliyekosekana kwenye Picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya 6

    Mtaje waziri aliyekosekana kwenye picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu,Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. ukiweza Taja na sababu ya kutokuwepo kwake ?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi, picha ya kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia awamu ya Kwanza kilichoketi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Machozi ya furaha yananitoka, Uso wangu umejaa na tabasamu kuona picha hii ya mwisho kama kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia Katika awamu yake ya kwanza ya utawala wake. Kwa hakika namshukuru sana Mungu kuona Rais wangu Mpendwa amemaliza...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU

    Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU) kinachoendelea jijini Malabo, Equatorial Guinea. Baraza...
  20. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri katika serikali ijayo

    Wasomi Kwa maksudi mmepuuza siasa na hamtaki kugombea, Wacha Sasa mtawaliwe na kuongozwa na mambumbumbu 1. Mh Dj Romy Jons Waziri wa Katiba na sheria 2 Mh Shilole Waziri wa Viwanda na uwekezaji 3 Mh Mamy baby Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia 4 Mh Baba Revo Waziri wa Maji 5 Mh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…