bandari ya dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Memento

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Yavunja Rekodi kwa kupokea Meli iliyobeba Shehena Kubwa Zaidi ya Tani 38,500

    Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500 Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na...
  3. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo. Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zambia yalalamikiwa kwa kujimilikisha kazi ya kubeba Mizigo Bandari ya Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia. Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
Back
Top Bottom