ban

Bánovce nad Bebravou (German: Banowitz, Hungarian: Bán) is a town in Slovakia, in the Trenčín Region.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Uongozi Unaotokana na Utumishi: Hufafanua ukweli na kushukuru

    UONGOZI UNAOTOKANA NA UTUMISHI: HUFAFANUA UKWELI NA KUSHUKURU Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya equita(dot)ie UTANGULIZI Kila wakati tunapofikiria juu ya uongozi, mara nyingi tunawaza juu ya wajibu wa kiongozi kutoa mwelekeo na kuongoza timu yake kwa mafanikio. Lakini je...
  2. Hatimaye MPWAYUNGU VILLAGE kaondolewa BAN

    Ni furaha yangu kuwajuza kuwa mwanetu Mpwayungu Village kaachiliwa huru kutoka kifungo hivyo tutegemee walimu wetu kutukanwa na kuendelea kupondwa kila siku Iitwapo leo Tumkaribishe upya
  3. Ban ya mwaka 1 kama Man City akifungwa na Arsenal leo

    Sina haja ya kusalimia, Kama Manchester City tukifungwa na Arsenal naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja. WE ARE CITIZENS. Moderator Moderator Mkuu @Mexence Melo Active naomba mnizingatie.
  4. M

    Akitoka BAN apewe Heshima yake JamiiForums kwani kwa 100% alichokisema Kimetokea Jana

    Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums. Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba...
  5. Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi. JamiiForums Moderator Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa. kila la heri wananchi 💚💛
  6. Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

    Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…