ban

Bánovce nad Bebravou (German: Banowitz, Hungarian: Bán) is a town in Slovakia, in the Trenčín Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Ban inauma

    Ase ban inauma sana mod just help me
  2. LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  3. Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
  4. Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  5. Yanga leo ikifungwa na Pamba au kutoa Draw nipigwe Ban ya wiki Mbili

    SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA. Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana cha kutuzuia sisi kupiga mpira mwingi sana na mabao ya kutosha. Hii ndo match ambayo wanayanga...
  6. Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  7. Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

    Habari ndugu zangu Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
  8. Chama akienda Uto nipigwe ban la mwaka

    Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur Chama na Simba ni...
  9. Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

    Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi. Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban? Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒 --- UFAFANUZI
  10. Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

    ...
  11. Kwanini US wameipiga ban TikTok?

    US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
  12. Kama Yanga asiposhinda kwa Madiba mods nawaruhusu munipige ban ya wiki

    Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu. YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
  13. Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  14. Florida set to ban homeless from sleeping on public property

    According to AP news, Florida will ban thousands of homeless people from setting up camp or sleeping on public property, under a bill lawmakers sent to Republican Gv. Ron DeSantis who support the idea. Countries, with approval from the state department of children and families would be able to...
  15. Laban Og apigwe ban ya week kama alivyoomba, haki itendeke

    Huyu member aliweka uzi hapa jukwaani kwamba akiwa na akili timamu Simba ikifunga apigwe ban ya week. Naomba apate haki yake hii tabia ya kutoa ahadi tu halafu mods hamtekelezi itaota mizizi humu JF naomba haki itendeke.
  16. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie official WhatsApp

    Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp. Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz wakiipiga ban natumai msg zote zitafutika na kuanza upya. Sasa nawezaje ku-solve hili suala aidha...
  17. D

    Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

    By AFRICA NEWS Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda. This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo. During an interview...
  18. Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

    Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana. Hakuna papatu papatu. Mpira...
  19. L

    Yanga akishinda leo nipigwe ban

    Kwa jinsi hawa Belouzdad ninavyowajua , na kiwango walichokuwanacho sasa hivi, Yanga anakufa sio chini ya goli tatu. Tukutane baada ya mechi
  20. F

    Magati ya Bandari yetu yapewe majina na moja liitwe Gati la Mwabukusi

    Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli! Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times! Mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…