Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...