Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/27 imeonyesha ongezeko la matumizi kutoka Tsh. Trilioni 56.49 katika mwaka 2025/26 hadi Tsh. Trilioni 62.33, sawa na ongezeko la zaidi ya Tsh. Trilioni 5.8. Ongezeko hili linaashiria dhamira ya Serikali ya kuendelea kuimarisha huduma za kijamii, utekelezaji wa...
Bajeti ya Tanzania Mzima ni 31 Trilion means kila mtanzania Ana ratio ya 460,000. Na wazanzibari ni 8.5 Trilion Means kwa ratio mzanzibari Ana 6,580,000 (Plus 460,000 zile za watanzania maana nao wamehesabiwa)
Kwakweli ni maajabu
Na bajet ya Zanzibar kuanzia tulipokosa mtu wa kumonitor...
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.
Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
Wakuu, nimekuta ripoti ya gazeti la thestandard la kenya toleo la leo kuhusu maoni ya wananchi baada ya bajeti hiyo kupendekeza mambo kadhaa hasa ongezeko la.kodi.
Wiki ijayo Mwigulu Nchemba, ambaye aliwahi kudokeza kuongeza tozo, atawasilisha bajeti ya serikali ya 2024/2025.
Wananchi wa Kenya...
Uwasilishwaji wa bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/2024 umesababisha hisia tofauti miongoni mwa sekta mbalimbali za uchumi. Ingawa bajeti hiyo inajumuisha hatua kadhaa zinazolenga kukuza uchumi na uwekezaji, pia kuna mambo ambayo yana haja ya uchunguzi na uhakiki zaidi.
Moja ya maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.