Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026, amesema Kamati kuu ya Chama imepitia Bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2026/2027 na kwamba haikisi maisha halisi ya Mtanzania, pia haijaweka fungu la gharama ya Katiba...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar amesema Serikali inapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) linalochezwa kupitia michezo ya kubashiri ya ardhini au mtandaoni, michezo ya kasino ya ardhini au mtandaoni, mashine za sloti...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Serikali inatarajia kukopa jumla ya shilingi trilioni 15.54. Kati ya kiasi hicho, mikopo ya ndani ni shilingi trilioni 6.56, mikopo ya nje yenye masharti nafuu...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za Mamlaka ya Usajili na Utambuzi wa Watu (NIDA), ikiwemo kuanza kutoza ada kwa wananchi na taasisi...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Ninapendekezwa kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura 168 ili kuruhusu gari au trela iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili za Tanzania...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vitakavyotumika katika vituo vya kuchaji magari yanayotumia umeme vinavyoingizwa nchini na kutambulika kwa HS Code 8504.00
Ambapo Katika...
Ili kupunguza matumizi ya fedha taslimu katika mwaka 2026/27 inapendekezwa kufanya maboresho yafuatayo:
Kuweka sharti la baadhi ya malipo ya huduma na biashara kufanyika kwa njia za kidijitali kama ilivyoainishwa katika Aya Na. 61;
Kusitisha usambazaji na matumizi ya vocha za kukwangua za muda...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali itaendelea kutekeleza Mkakati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Muda wa Kati wa 2025/26–2027/28 kwa kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha ukusanyaji wa mapato.
Amesema miongoni mwa hatua hizo ni kuvutia uwekezaji...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
"...mkakati wa kuongeza mapato.
Mheshimiwa Spika, takwimu za miaka ya karibuni zinaonesha kuwa misaada kutoka nje imeendelea kupungua mwaka hadi mwaka na hivyo...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Bajeti ya 2026/2027 ni ya kwanza katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Bajeti hii imeandaliwa kwa kuzingatia miongozo ya kitaifa...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaomba Tsh Bilioni 525,327,857,000 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Pia soma Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari
Mchanganuo
1. Tsh Bilioni 39,071,597,000 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.