bahasha

Bahasha (film) is a 2018 Tanzanian movie about a public official who seeks redemption after taking bribe. It battles the issue of corruption in our present society.The film was nominated at Africa Movie Academy Award for Best Film In African Language in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnada wa Mhunze

    Bahasha zisizo eleweka zina nini ndani zagawiwa mda huu kwa wabunge wote

    Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea. ....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa! Chanzo.
  2. BARD AI

    Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka. Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
  3. Kipenzi Changu

    Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  4. M

    Simba SC wameshinda leo goli 4. Je, wametoa bahasha ya shilingi ngapi?

    Hawa jamaa wa umbumbuni leo wameifunga ruvu shooting goli 4 sasa tunajiuliza wao wametoa bahasha ya shingapi maana wakishinda wengine wanasema ni bahasha lakini wakishinda wao ni ushindi halali. Hapo ndo unapopima akili za hawa jamaa na kugundua ni hamnazo, hawajielewi wala awajitambui na...
  5. T

    Badala ya kutoa magoli ya mchongo sasa marefa wa bahasha za khaki wageukia red kadi za mchongo

    Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi. Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
  6. 44mg44

    Njooni tuitakie kila la kheri timu yetu ya Simba kwa mechi ya leo, maana sisi hatushindagi kwa bahasha!

    Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu. Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili timu yetu ishinde.
  7. Samahani

    SoC02 Njooni wataalamu wetu wenye bahasha tusaidiane

    KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
  8. Stephen Ngalya Chelu

    Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  9. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  10. Kitchener

    Kwanini matajiri hukupatia pesa kwenye bahasha ya khaki?

    Hili swali kuna mtu kaja kuniuliza nikashindwa kumjibu, what is it behind matajiri wanapokupatia pesa cash, kukuwekea kwenye bahasha ya khaki, anauliza kwanini wasikupatie tu mkononi. Inaonesha alifanya kazi fulani akatakiwa kupewa cash, akapewa kwenye bahasha ya khaki, na yeye ni kama mtu...
  11. Mrs Gudman

    Vijana wa Kiume badilikeni

    Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
  12. Kipenzi Changu

    Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

    00' Mpira unaanza kwenye dimba la Mkapa 28' Greyson David anaachia mkwaju na kuiandikia KMC bao la kwanza 36' Chars Iyanja anashindwa kuingozea KMC bao la pili baada ya kubaki yeye na goli, mlinda mlango FaruqShikalo alijaribu kutoka kuuwahi mpira lakini aliukosa 45+2' Mapumziko 46' Yaqub...
  13. E

    Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
Back
Top Bottom