Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe
HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA
Niwakumbushe?
Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE!
Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...