bagonza

William Bagonza (12 November 1960 – 9 December 2000) was a Ugandan boxer. He competed in the men's light flyweight event at the 1984 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa Hali ilivyo sasa Katiba na Rais wapo vitani

    "Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

    TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais. Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na Katiba wako vitani. Nawasihi wanaojadili, watulize mioyo yao. Wasikilize...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Haki na Uhuru vimeumana

    HAKI na UHURU VIMEUMANA! Maneno "haki" na "uhuru" yameanza kusikika kwa kasi toka midomoni mwa watawala na Viongozi wetu. NAWAPONGEZA. Hakuna aliyepiga marufuku matumizi ya maneno haya lakini si kila marufuku inatolewa hadharani. Taifa lilishtuka pale tulipoona haya: 1. Watawala...
Back
Top Bottom