Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.
TANROADS wanajisahau sana kuhusu alama za wavuka kwa Miguu ya PUNDAMILIA/ZEBRA, zimefutika kiasi kwamba sasa zimekuwa chanzo cha ajali.
Changamoto hiyo ipo sana maeneo ya Barabara ya Bagamoyo, mfano Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko magengeni, Bunju Center ndio hakuna kabisa...
Anonymous
Thread
bagamoyo
barabara
barabara ya bagamoyo
nyingi
tanroads
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.
Bandari hii inajengwa...
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka
TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa kukatikakatika kwa umeme katika kitongoji chao cha Kiharaka sambamba na shida ya kupata umeme mdogo(low Voltage)...
Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia.
Bei rafiki. .Simu 0626431257
Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257.
(MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK)
WHATSAPP/CALL:- +255626431257
NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI
Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari
Bei: 10M cash...
Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua
Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b.
Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025.
Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
PRIME BREACHFRONT PROPERTY IN BAGAMOYO FOR SALE
measures 4431sqm.
65m of white sandy beach frontage.
double storey house on the property.
suitable for commercial development or private home.
5mins drive from the historical sites in Bagamoyo township.
water and electricity on site.
easy access...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE NDO CHANZO mwajitakia wenyewe.
Full stop
Kwishaaaa
Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria.
Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye ufahamu wa gharama au wadau wa kazi za ushafirishaji naombeni msaada.
Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza...
Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa
Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
Wazoefu wa hii miji/maeneo.
Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya...
A. DAR ES SALAAM,
B. KIBAHA
C. MLANDIZI
D. BAGAMOYO.
Right Marker
Dar es salaam.
Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu.
Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe..
Hiyo pesa iliyoitwa...