bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ni mzuri sana, bado tuna nafasi ya kushinda mechi zijazo

    Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

    Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi. Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi. Kwanini mpaka sasa hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Tusimchomekee Rais, bado tunahitaji kuzuia wanyama wasisafirishwe

    Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona. naweza...
  4. JamiiForums Tanzania Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  6. JamiiForums Tanzania Bado na haso

    Wana tupige kazi aisee njaa mbaya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  8. JamiiForums Tanzania Simba bado tu haijamtimua Pablo?

    Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania vibanda umiza,mashabiki wa Simba kushindwa kuvaa jezi zao mitaani kwa kuona aibu ya kuwa wabovu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

    Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza. Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni...
  10. JamiiForums Tanzania Leo bado nusu nipigwe na mtu mfupi

    Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂 Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani...
  11. JamiiForums Tanzania Kama bado unakaa kwenu usitoke, Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda

    Kwa hali ya maisha ya sasa kama bado unakula na kulala bure iwe kwenu au kwa shemeji yako ongeza nidhamu kwa hao wanaokulisha wanabeba mzigo mkubwa sana. Maisha yapo juu sana kila kitu kimepanda. Mahindi kutoka 1200 kg hadi 1500 Mafuta ya kula kutoka 32000 Lita 5 hadi 40000. Sabuni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home. Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma. Naomba jukwaa linishauri
  13. JamiiForums Tanzania Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

    Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu. Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
  14. JamiiForums Tanzania Kocha Pablo: Ubingwa Ligi Kuu bado tupo tupo

    Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana kuhakikisha inaweka matumaini kwenye ubingwa huo ikianza na mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

    Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  17. JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  18. JamiiForums Tanzania Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  19. N

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

    dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana kumbe bado Mrusi anapigana Mariupol, nilijua alimaliza mchezo kitambo

    Huyu supapawa kwa kweli hana la maana, hivi ameingiwa na nini Mrusi, mbona miaka yote tulikua tunamwogopa bure tu... KHARKIV, Ukraine — Turkey is working to negotiate an exit for the wounded Ukrainian soldiers sheltering in the bunkers of a steel plant in the port city of Mariupol, but its...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…