bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bado na yule mwenye jina la NJAA HAYUMO?

    Tuzidishe maombi na yeye azidishe kujikomba! Asikate Tamaa!
  4. JamiiForums Tanzania Kwako mfanyakazi ambaye bado unajitafuta kimaisha

    Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40. Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi...
  5. JamiiForums Tanzania Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Bado Unakisia Tarehe ya Chanjo, Unahatarisha Kuku Wako! Fuga App Hukumbusha kwa SMS Kabla Ya Siku Kufika!

    Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako. Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa. Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
  8. JamiiForums Tanzania Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu bado nitaungana na Eng. Hersi kwamba Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa TFF

    Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa . 2.Timu zinadhamika , wadhamini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

    Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

    Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili. Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
  12. JamiiForums Tanzania Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  14. JamiiForums Tanzania Bado sakata la TFF, Azam TV na mashabiki halijapata ufumbuzi

    Azam TV walitumia nguvu kubwa Sana kutangaza mechi ya March 8 ila haikupingwa wakala hasara.Ikatangazwa tarehe mpya June 15 akasema isiwe kesi yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakaanza promo tena nayo wamekula nyoya. Kumbuka mashabiki walikata ticket Mechi ya March 8. Mpka leo tunajua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta. Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
  16. JamiiForums Tanzania Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

    Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao. Nasemaje nasemaje nasemaje Israel piga hayo magaidi ya dini. Wayahudi wana historia ya kushinda vita hata kabla hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anapambana sana kweli kweli lakini bado hatoboi? zipo sababu

    sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia mafanikio, hata kama kazi inaendana na nyota: 1: Karma Kuna vipingamizi vya kiroho vinavyotokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…