Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?
Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...