USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO.
Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha.
Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi.
Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi.
Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake.
Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume
Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
Ndiyo!
Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅
sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali?
Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama mzazi Ana "wish" Ila baba mzazi Ana "say ".
Hakikisha unakaa vizuri na baba yako huyo ndo kila kitu...
Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.
Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa...
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake.
Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha.
Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi...
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi.
Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .
Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema
Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
Case study.
Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache.
Hapo Home mna beki tatu moja matata Sana, mali safi toka tanga anatokea kukupenda ila anashindwa...
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea ukazaliwa kwa wazazi pangu pakavu unakubaliana na hali sababu huna uwezo wa kuchagua.
Ukweli mchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.