baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
  2. Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  3. DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
  4. Baada ya Kufuta “Law School” Mawakili wasomi na walio bora watapatikanaje?

    Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo. Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
  5. Unafanya nini baada ya mshindo kusubiri awamu nyingine

    Husika na kichwa cha habari, Kila mtu na jinsi alivyobarikiwa juu ya kutake time kutoka mshindo mmoja kwenda mwingine. Wapo wanaounganisha, wapo wa dakika 5, 10 na zaidi. Je kwa wewe unaetumia amount of minutes kwenda mshindo mwingine Huwa unafanya nini wakati unasubiri. Binafsi Huwa napiga...
  6. G

    TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

    Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
  7. Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  8. Serikali yasema baada ya miezi miwili itatangaza fursa ya uwekezaji Soko la Kijichi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
  9. TAMISEMI: Madeni ya Wazabuni wa Vyakula Mashuleni yatalipwa baada ya uhakiki

    Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  10. Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  11. Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  12. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  13. L

    USA,ISRAEL na UK special forces waliuliwa na Wa Houth baada ya Urusi kuwafichua expose

    Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia Yemen tayari kabisa kupiga shoo moja Kali sana,lakini kwa bahati mbaya warusi walishawaona kabla na...
  14. J

    Mwanafunzi anayedaiwa kuchapwa viboko na kumuacha na uvimbe na makovu Dodoma

    Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
  15. M

    Mtu anayetaka kukutawala baada ya kukusaidia

    Aug 26th, 024 Dar es Salaam, Tanzania Saa 5:27 asubuhi ------------------------------- Habarini madada, makaka, na wazee wenzangu! Leo nivunje ukimya niongelee suala nyeti kidogo. Umewahi kusaidiwa katika point ya maisha yako, na aliyekusaidia akataka uwe mtumwa wake? Hiki kitu ni kansa...
  16. Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  17. Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  18. 0

    Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

    Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha. Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom...
  19. Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  20. Deal done! Baada ya likizo kwisha.. Kaya zikafutwa

    Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo Kilichofuatia baada ya liziko ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…