aziz ki

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for the Burkina Faso national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali Aziz Ki akiwa nyumbani kwake

    Wadau hamjamboni nyote?
  2. JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  3. JamiiForums Tanzania Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

    Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga. "Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
  4. JamiiForums Tanzania Kama huyu ni Aziz Ki, mimi ni nani mpaka nikatate tamaa ya maisha.

    Swali kuu ni je, Hamisa angekubali kuolewa kama Azizi angekuwa bado yupo hivi?
  5. JamiiForums Tanzania Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

    Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend. Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe ndoa ya Azizi K ilifunguliwa hadi space huko X kujadiliwa na watu baki tu!

    Hii mitandao ya kijamii pamoja na manufaa mengi lakini pia imefanya kundi kubwa la watu duniani kuwa wajinga na kuenenda kama mazombi.
  7. JamiiForums Tanzania JAMAN wenye picha za ndoa ya MH Aziz ki Bwana harusi

    Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wachezaji wa Yanga na Ali Kamwe kwenye party ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto

    Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto. Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
  9. JamiiForums Tanzania Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

    Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
  10. JamiiForums Tanzania Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

    Wakuu Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars. Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona kwenye video za matukio ya ndoa ya Hamisa na Aziz Ki, Aziz Ki anaonekana kama zoba zoba fulani hivi kuliko akiwa uwanjani?

    Wakuu, Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima. Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie...
  12. JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

    Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe? Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

    Wakuu Fundi wa ball ashavuta jiko Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto. Soma, Pia Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30 VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msimuoneshe Aziz ki hii

    Nimetoa tu huko Twitter kwa wananzengo Lakini Kuna wananchi watoa comment kama huyu👇🤣
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  16. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

    I am so proud of you Hamisa. This girl need to be studied. Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School) Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters. Wazazi tunao somesha watoto wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

    Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao. Tukio hilo limefanyika katika...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga mpeni mkono wa kwaheri Aziz Ki. Imetosha!

    Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania. Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna...
  19. JamiiForums Tanzania Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
  20. JamiiForums Tanzania Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…