aziz ki

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for the Burkina Faso national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiungonguli

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Aziz Ki una maana gani kwa Fei Toto?

    Stephane Aziz Ki ni jina lililotamkwa mara nyingi mno midomoni mwa mashabiki wa SIMBA na YANGA kwa takribani wiki nane sasa huku kila shabiki wa timu hizi akitamani huyu bwa mdogo acheze kwenye timu yake pendwa. Hatimaye sasa ni rasmi AZIZ KI ni mali ya wananchi na ameshatambuliswa kwa mbwembwe...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

    Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki. Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi. Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
  3. Kiungonguli

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Aziz Ki na Augustine Okrah?

    Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Haji Manara si alitutambia kuwa mpaka tarehe 28 watakuwa wamemtangaza Aziz Ki

    Haji Manara si alitutambia kuwa mpaka tarehe 28 watakuwa wamemtangaza aziz ki. Vipi mbona kimya?
Back
Top Bottom