azam media

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October 1994) is a Pakistani international cricketer who captains Pakistan in all formats. A right-handed top-order batsman, Azam is widely regarded as one of the best contemporary batsmen in the world. He plays for Karachi Kings in Pakistan Super League and captains Central Punjab in domestic cricket. In April 2021, he achieved the number one spot in the ICC rankings for ODI batsmen.

View More On Wikipedia.org
  1. fimboyaukwaju

    Azam Media ajirini, CEO kutoka nje ya nchi

    Matangazo yenu yana ubora mdogo sana, ukilinganisha na uwekezaji mkubwa sana mlioufanya. Matatizo makubwa ni haya: 1.Sauti ni tatizo kubwa sana. Kila taarifa ya habari ni lazima ina shida ya sauti 2.Kuandika maandishi yanayoambana na habari hapo ndio kituko cha ajabu 3.Mpangilio wa...
  2. Jamii Opportunities

    Compliance Officer Job at Azam Media – February 2026

    Job Summary Job Title: Compliance Officer The Compliance Officer is responsible for ensuring that the organisation maintains full compliance with applicable standards and regulatory requirements, including data protection obligations. The role oversees the effective implementation of the...
  3. Mafyangula

    Gari la utangazaji (ob van) la Azam Media Group limeharibiwa wakati wa mechi Nairobi United FC dhidi ya Gor Mahia

    Azam Media Group inalaani vikali matukio yaliyojitokeza leo katika Uwanja wa Dandora, jijini Nairobi, Kenya, wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya Nairobi United FC dhidi ya Gor Mahia FC iliyochezwa saa 10:00 jioni, ambapo gari la utangazaji (OB Van) limeharibiwa na vifaa...
  4. fimboyaukwaju

    Hongera sana Azam Media

    Azam Tv kwa sasa ina operate kupitia satellite tv kwenye nchi 7 zifuatazo: 1.Tanzania 2.Kenya 3.Uganda 4.Zimbabwe 5.Rwanda 6.Malawi 7.Sierra Leone Ila kwa kupitia Azam Max wanaiona dunia nzima.Hongera sana kwani wanaitangaza Tanzania vizuri sana
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  6. Adolph Jr

    Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  8. DELETED ACCOUNT

    Azam Media, ratiba za vipindi vyenu haiendani na mnachoonyesha

    Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu? Nimekaa hapa lisaa zima...
  9. jMali

    Hongera Azam Media Kwa Usikivu

    Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka :). Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
  10. Waufukweni

    Baraka (Sauti ya Radi) Mpenja autosa utangazaji Azam? Kutoka ulingo wa Soka hadi kugeukia Uigizaji

    Kwa muda mrefu, jina la Baraka Mpenja limekuwa sawa na simulizi ya soka la Tanzania. Sauti yake ilibeba hisia za mechi, ikiwasha ari ya mashabiki na kuwafanya wahisi kila mpira uliopigwa uwanjani. Lakini sasa, upepo umebadilika, SAUTI YA RADI kuelekea kwenye sanaa ya uigizaji. Ni mabadiliko...
  11. GENTAMYCINE

    Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  12. M

    Ushauri wangu kwa Azam media limited

    Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi. Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania wote. Watu walisafiri, watu walilipia vingamuzi. Azam tv waliitangaza sana mechi hiyo kwenye radio...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Azam Media Limited yasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi kati Yanga na Simba

    Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia saa 1:15 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tukio hili limeleta athari kubwa kwa...
  14. Mende mdudu

    Barua ya wazi kwa Azam media

    Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa. Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
  15. kipara kipya

    Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  16. OMOYOGWANE

    AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  17. Morning Glory1

    Azam media na NBC amkeni kwenye usingizi. TFF, bodi ya ligi na kamati ya waamuzi inawaharibia biashara

    Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo kama huu unaoendelea kwenye ligi yetu Refa anatoa kadi nyekundu ambayo haieleweki...refa ametoa...
  18. Jamii Opportunities

    Business Performance and Analytics Manager at Azam Media

    WE ARE HIRING! Position: Business Performance and Analytics Manager Education: BSc in Actuarial Sciences, BSc in Mathematics, or a related field. Key Areas: Design Customer Value Management (CVM) and Customer Experience strategies. Increase revenue and customer satisfaction. Develop...
  19. Sir John Deere

    Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  20. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
Back
Top Bottom