Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...